Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Asante mkuu,utawasaidia weng , seeders vipi wanatosha? Mana naona ni torrent
Nime download game vizuri mpaka kuinstall ila shida bado Map module inashindwa kunipa selection options za map zingine inayo onekana ni Europe tu.
IMG_20220727_093439.jpg
IMG_20220727_093458.jpg
 
Attachments

  • IMG_20220727_093458.jpg
    IMG_20220727_093458.jpg
    31.3 KB · Views: 29
Nime download game vizuri mpaka kuinstall ila shida bado Map module inashindwa kunipa selection options za map zingine inayo onekana ni Europe tu.View attachment 2305436View attachment 2305437
kwa map unazo tumia sizani kama rus map ina stand alone map rus map inategemea pro mods na uwe na road connection zake zote pia ni muhimu ukawa na crush fix apo ndo uta load vizuri map ambayo haitegemei promods ni roextended pekeyake wengine wanategemea promods ndo ucheze
 
maana apo naona umeunganisha sud defrence na rus map maana yake unataka kucheza France na Russia kwa wakati mmoja apo mpaka uwena izo map zote kwenye hiyo document na upange kama zilivyo kutoka chini iwe ya mwisho hadi yak wanza ukipata shida rudi tena hapa,
apo panahitaji zaidi ya GB 25 ndo uupate uwo utamu wote mzee
 
Attachments

kwa map unazo tumia sizani kama rus map ina stand alone map rus map inategemea pro mods na uwe na road connection zake zote pia ni muhimu ukawa na crush fix apo ndo uta load vizuri map ambayo haitegemei promods ni roextended pekeyake wengine wanategemea promods ndo ucheze
Rus map mim nimecheza as standalone vizur ti,kikubwa apange kwa mtiririko sahihi,na mda mwingine awe na saved profile ya mtu
 
wazee nawaambia kwamba nahama nataka nkaanze kumiliki trela za mafuta so na toka kutoka 1.44 to 1.45 sasahivi
 
Mzee zile mods zako ziko wap ziweke kwenye map combo tupite nazo
ile ni stand alone map ukiireplace ndani ya map yoyote itaonekana kwa chini au juu ya barabara ulipoiweka hii ni kwa sababu ya sector data [nadhani kwa wataalamu wa sector hapo wananielewa]

but nadhani siku zijazo nihitaji kuiunganisha na promods,EAA map,rusmap, ili nayo iwe kati ya map zinazounganishwa na map nyingine [map combo]
 
Fanya ivyo mkuu watu tunapenda tuwe na map kubwa na profile kubwa
 
Back
Top Bottom