Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Hayawi hayawi sasa yamekuwa
Ile map mlikuwa mkiisubiri kwa muda mrefu sasa rasmi imetoka inakubali kwenye version 1.43 na inasupport multiplayer pia
Kama huna game link ni bure ila map ni Tsh 10,000/= tu wasiliana nami kwa namba 0742145782.
Game : euro truck simulator 2
Ni maalum kwa computer pekee sio SIMU.

naona vijana wamechafukwa support yenu inahitajika ili kazi iendelee.
 
Attachments

  • 24457092.225_20220821180943_1.jpg
    24457092.225_20220821180943_1.jpg
    286 KB · Views: 36
Hayawi hayawi sasa yamekuwa
Ile map mlikuwa mkiisubiri kwa muda mrefu sasa rasmi imetoka inakubali kwenye version 1.43 na inasupport multiplayer pia
Kama huna game link ni bure ila map ni Tsh 10,000/= tu wasiliana nami kwa namba 0742145782.
Game : euro truck simulator 2
Ni maalum kwa computer pekee sio SIMU.

naona vijana wamechafukwa support yenu inahitajika ili kazi iendelee.
Mm naomba nipate link ya Euro truck simulator, hata Kwa pesa,
 
hatua inayofuata ni kutambua je ni map ngapi zinazokubali kuunganishwa ili zicheze kwa pamoja massawepb nifahamishe kuhusiana na hili[emoji115]
Tayari kunamtu amekusogezea chini uku mwa afrika nitakupa secreenshoot ili ujue namna ya kuweka feri tena project ukaipa jina est Africa uanze na ata miji mitano kenya, uganda na tz utapata wa fuasi tutaenda kuintrojuz kwa ppm forum kwa roex maana kule mm ni member ili tujue pate wafuasi
 
Hiyo ya Africa nashukulu nimeiona but kimbembe hapo ni kuzipata dlc ya Iberia ktk account yangu ya steam Kisha mambo mengine yatajiongoza kama ninavyotaka
 
Back
Top Bottom