Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Taarifa Kwa madereva wa maroli ktk game la euro truck

Kulingana na madeveloper wa game la euro truck simulator 2 yaani (scs) kwenda Kwa Kasi sana ktka uboleshaji wa game napenda kuwaambia kuwa Kwa wale wote mwenye hamna hili game ambalo ni Latest update v 1.45 wadownload hili game kupitia hii link hapo chini
 
Ngja niwatumie specification za pc yangu mniambie kama linafaa
 
Taarifa Kwa madereva wa maroli ktk game la euro truck

Kulingana na madeveloper wa game la euro truck simulator 2 yaani (scs) kwenda Kwa Kasi sana ktka uboleshaji wa game napenda kuwaambia kuwa Kwa wale wote mwenye hamna hili game ambalo ni Latest update v 1.45 wadownload hili game kupitia hii link hapo chini
hoya hii ngoma inaweza sukuma hii kitu

HP PROBOOK
Processor Intel(R) Core(TM) i5-8265U CPU @ 1.60GHz 1.80 GHz
Installed RAM 8.00 GB
 
Vipi hapa naweza cheza latest game

Hp Elitebook 8540p
Intel(R) Core (TM) i7 CPU M 640@2.80Ghz
Installed memory(RAM) 8.00 GB
 
Vipi hapa naweza cheza latest game

Hp Elitebook 8540p
Intel(R) Core (TM) i7 CPU M 640@2.80Ghz
Installed memory(RAM) 8.00 GB
hii ni i7 kizazi cha kwanza ndiyo utacheza ila ni kwa low graphics sana kwa ushauli
tafuta ki mashine angalau chenye graphics card kuanzia gb 2 hapo uta enjoy
 
Back
Top Bottom