Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Sorry wakuu sikuwepo online kwa mda samahan kwa hilo ila Hii manual inapatikana kwa bei ya 300000 kama unahitaji ya wireless ila kama ya wired ni 240000 na inatengenezwa kwa oder sababu ni changamoto ya wateja. Hii device ni ngumu na nzuri kwa ajili ya mafunzo ya udereva
 
Hayawi hayawi sasa yamekuwa
Ile map mlikuwa mkiisubiri kwa muda mrefu sasa rasmi imetoka inakubali kwenye version 1.43 na inasupport multiplayer pia
Kama huna game link ni bure ila map ni Tsh 10,000/= tu wasiliana nami kwa namba 0742145782.
Game : euro truck simulator 2
Ni maalum kwa computer pekee sio SIMU.

naona vijana wamechafukwa support yenu inahitajika ili kazi iendelee.

Unakua unaendesh buss
Au truck za kawaida ila unapishana nazo
 
Back
Top Bottom