Nime download game vizuri mpaka kuinstall ila shida bado Map module inashindwa kunipa selection options za map zingine inayo onekana ni Europe tu.Asante mkuu,utawasaidia weng , seeders vipi wanatosha? Mana naona ni torrent
Sio map zote zitakupa option ya kuchagua mbd, zingine zinakua hivyo hivyo ila uliendelea unakutana na map yakoNime download game vizuri mpaka kuinstall ila shida bado Map module inashindwa kunipa selection options za map zingine inayo onekana ni Europe tu.View attachment 2305436View attachment 2305437
Nifanye nini iliniweze kukutana na map yangu harakaSio map zote zitakupa option ya kuchagua mbd, zingine zinakua hivyo hivyo ila uliendelea unakutana na map yako
kwa map unazo tumia sizani kama rus map ina stand alone map rus map inategemea pro mods na uwe na road connection zake zote pia ni muhimu ukawa na crush fix apo ndo uta load vizuri map ambayo haitegemei promods ni roextended pekeyake wengine wanategemea promods ndo uchezeNime download game vizuri mpaka kuinstall ila shida bado Map module inashindwa kunipa selection options za map zingine inayo onekana ni Europe tu.View attachment 2305436View attachment 2305437
maana apo naona umeunganisha sud defrence na rus map maana yake unataka kucheza France na Russia kwa wakati mmoja apo mpaka uwena izo map zote kwenye hiyo document na upange kama zilivyo kutoka chini iwe ya mwisho hadi yak wanza ukipata shida rudi tena hapa,kwa map unazo tumia sizani kama rus map ina stand alone map rus map inategemea pro mods na uwe na road connection zake zote pia ni muhimu ukawa na crush fix apo ndo uta load vizuri map ambayo haitegemei promods ni roextended pekeyake wengine wanategemea promods ndo ucheze
Iyo una dowanload torrent mkuuMsaada mwenye setup ya Euro truck naomba msaada
Rus map mim nimecheza as standalone vizur ti,kikubwa apange kwa mtiririko sahihi,na mda mwingine awe na saved profile ya mtukwa map unazo tumia sizani kama rus map ina stand alone map rus map inategemea pro mods na uwe na road connection zake zote pia ni muhimu ukawa na crush fix apo ndo uta load vizuri map ambayo haitegemei promods ni roextended pekeyake wengine wanategemea promods ndo ucheze
Mim iyo sijui but labda maana stand alone sijawai chezaRus map mim nimecheza as standalone vizur ti,kikubwa apange kwa mtiririko sahihi,na mda mwingine awe na saved profile ya mtu
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849] bado uko ukooo tuu sisi tuna move kwenye 1.45
Mzee zile mods zako ziko wap ziweke kwenye map combo tupite nazoEuro Truck Simulator 2 v1.43.3.21s-P2P
hii hapa nimeipata
ile ni stand alone map ukiireplace ndani ya map yoyote itaonekana kwa chini au juu ya barabara ulipoiweka hii ni kwa sababu ya sector data [nadhani kwa wataalamu wa sector hapo wananielewa]Mzee zile mods zako ziko wap ziweke kwenye map combo tupite nazo
Fanya ivyo mkuu watu tunapenda tuwe na map kubwa na profile kubwaile ni stand alone map ukiireplace ndani ya map yoyote itaonekana kwa chini au juu ya barabara ulipoiweka hii ni kwa sababu ya sector data [nadhani kwa wataalamu wa sector hapo wananielewa]
but nadhani siku zijazo nihitaji kuiunganisha na promods,EAA map,rusmap, ili nayo iwe kati ya map zinazounganishwa na map nyingine [map combo]