Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Mkuu, unataka kusema hili game ni maalumu kwa wenye PC pekee? Sisi wenye simu za android inakuwaje sasa?Beba PC yoyote kuanzia Core i5 8th gen
Display kuanzia 14.0" inch (recommended 15.6")iwe kuanzia Full HD au 4K
7280 nzuri ukipata i7 ina full HD na zinatumia SSD(m.2) pekee
Kipengele kioo kidogo ni 12.5"inch hautaenjoy GAME
Ila game inacheza vizuri kabusa bila shida
7280 kuna i3 i5 na i7
i3 achana nayo chukua ya i7
Wenye simu mnunue pc mkuuMkuu, unataka kusema hili game ni maalumu kwa wenye PC pekee? Sisi wenye simu za android inakuwaje sasa?
Graphics zikojeHii lenovo x1 yoga 360 core i5 6thgen.. ina ssd..
Itaweza kweli hili latest game....
Haina graphics card.
niliifuta, naona unanipa mzuka wa kuirudisha tenaSababu game limebadilika sana graphics imeongezeka sana tofauti na version za nyuma
Kweli mkuu mwakani ninunue kitu. Ha gtx 1660 au rtx kuanzia 2060..Ukitaka kuinjoy game Kwa Sasa tafuta PC angalau yenye graphics card kuanzia gb2 na kuendelea mambo ya inter graphics drive yatakusumbua tu
hapaTuelekeze game tunalipatajr kaka
yep, weka specs za pc yakoUliiweka ikacheza fresh?
yep, weka specs za pc yako
Kwa aliyepo Mwanza mjini mwenye hii game ...ili nimcheki aniweke maps na bus mods
Mwanza vp huwa unasogea mara moja moja?Mi niko musoma hapa jirani yako tu
Ngoja wajeKwa aliyepo Mwanza mjini mwenye hii game ...ili nimcheki aniweke maps na bus mods