Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Beba PC yoyote kuanzia Core i5 8th gen
Display kuanzia 14.0" inch (recommended 15.6")iwe kuanzia Full HD au 4K

7280 nzuri ukipata i7 ina full HD na zinatumia SSD(m.2) pekee
Kipengele kioo kidogo ni 12.5"inch hautaenjoy GAME
Ila game inacheza vizuri kabusa bila shida

7280 kuna i3 i5 na i7
i3 achana nayo chukua ya i7
Mkuu, unataka kusema hili game ni maalumu kwa wenye PC pekee? Sisi wenye simu za android inakuwaje sasa?
 
Ukitaka kuinjoy game Kwa Sasa tafuta PC angalau yenye graphics card kuanzia gb2 na kuendelea mambo ya inter graphics drive yatakusumbua tu
 
Ukitaka kuinjoy game Kwa Sasa tafuta PC angalau yenye graphics card kuanzia gb2 na kuendelea mambo ya inter graphics drive yatakusumbua tu
Kweli mkuu mwakani ninunue kitu. Ha gtx 1660 au rtx kuanzia 2060..

Ngoja nijipange meizi hii miwili...
 
Nna hii lakini mi ni learner kabisa kwenye anga hizi na si mtalamu wa computer but natamani hili game, anaeweza kunielekeza step by step nipate huu mzigo asanteni
20221128_185821.jpg
 
Kwa aliyepo Mwanza mjini mwenye hii game ...ili nimcheki aniweke maps na bus mods
 
Back
Top Bottom