The coolest jw
JF-Expert Member
- Dec 2, 2016
- 705
- 1,082
MAPA NORTE BRASIL 4.0 ETS2 1.36.2.2s | ETS 2 mods « ETS 2 mods map ya brazil hiyo imekuja tena ets2 v1.36 miji imeongezeka kutoka 103 mpaka 140
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona Mimi sipati shida hizo mkuu...saut na mwanga kwako kuna shida gan?Aisee, road to black sea inanikosesha utamu kwenye swal la sauti na mwanga, kama umecheza nazan umeona tofaut na ili la 1.35
Ninayo hii tayar...nakula misele tuMAPA NORTE BRASIL 4.0 ETS2 1.36.2.2s | ETS 2 mods « ETS 2 mods map ya brazil hiyo imekuja tena ets2 v1.36 miji imeongezeka kutoka 103 mpaka 140
Road to the black sea ndio 1.36 mkuu [emoji16]hatimae nimeludi barabaran.. sasa naombeni ushauri nianze kupakua nini kati ya hivi {1} road to the brack sea au {2} 1.36
sasa hii 1.36 ndo ina hiyo dlc ya beyond the black sea ?
sasa hapa ni dowload ipi kati ya hizi mbili ETS2 v1.36.2.1s+70DLCs Road To Black Sea
sasa hapa ni dowload ipi kati ya hizi mbili ETS2 v1.36.2.1s+70DLCs Road To Black Sea
Tofauti yake ni ipi katiya hizo link mbili?
Ya mediafire ndio nzur mana ni direct link so unapakua zako kwa idm inakua fasta tu alafu ni gb 3 tuTofauti yake ni ipi katiya hizo link mbili?
Kuna ile uliyotoa ya mediafire vipi nayo?
Sent from my SM-G532F using Tapatalk
ets2mods.lt
hivi sisi waafrica tunakwama wapi.? hata kutengeneza mod moja tu hata ya stendi tu ya abilia tunashindwa. mpaka tusubili wakina kapo, elidorado, na n.k kweli!!!!
We acha tu ...acha tupige misele brazilDuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapo posta Manzese tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app