Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Ikabidi nikachukue Globetrotter nifunge horsepower 3000hp
ets2_20191221_012655_00.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii Version mpya mod za no damage hamna..???
Tangu nimelinstall sijalicheza kabisa
piga Game Mkuu
mm nilikata tamaa sikulijua km sio kcamp nilishataka kurudi Peru
mwanzo unapata vituo vya lami tena vizuri
mieleka ni LAZIMA hata uwe na NO DAMAGE au pesa mingi
gari inajitupa kosa dogo tu
welcome Hondulandia, kweli wenzetu wana barabara hatari
 
Aje tu apande milimaa [emoji16]
piga Game Mkuu
mm nilikata tamaa sikulijua km sio kcamp nilishataka kurudi Peru
mwanzo unapata vituo vya lami tena vizuri
mieleka ni LAZIMA hata uwe na NO DAMAGE au pesa mingi
gari inajitupa kosa dogo tu
welcome Hondulandia, kweli wenzetu wana barabara hatari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii honduland sio poa kabisa, kama una uchovu usicheze hii kitu...Janà nimeijaribu na uchovu wangu nimeshia kuzima Pc na kulala

Sent from my SM-G532F using Tapatalk
 
Hii honduland sio poa kabisa, kama una uchovu usicheze hii kitu...Janà nimeijaribu na uchovu wangu nimeshia kuzima Pc na kulala
Duh unasema kweli Mkuu mm nimiamkia asubuhi maana nipo level ya 78 sijaweza nunua Scania au Volvo Globetrotter wananipa MAN nk naendelea cha ajabu tangia asubuhi mpaka jioni sijamaliza trip moja ni kukwama na kijiko nilichobeba hakiendi kabisa
 
Yani huku honduland utakuta tushamalza miji yote ww bado
Mkuu mbona Developer wa hili game la Hondulandia katutegea TIMER yaani unachukua mzigo wa 408km kwa uda wa masaa 18 uwe umefika, lkn ukiangalia remaining Timer unakuta kabla ya kuanza unakuta zimebaki masaa 11 tu
nusu ya safari tayari alarm ya kuchelewa inalia
je kcamp kuna mzigo umeshauwahisha????
mm yote ni red ya LATE
 
1577029501073.png

Mkuu kcamp naona una Volvo Globetrotter hapo kwenye kichaa (hawa wanaozurura barabarani nawagonga tu la sivyo kumkwepa ni mweleka) huyo anayeongoza gari mm ndio mwisho wangu hapo nimekwama na Caterpiller linakwama sijui mti Jiwe au huyo jamaa ninayemgonga ndio sababu
kwa sasa nimezima Game nitarudi baadae nipo na Volvo ndogo sijanunua bado sijui wanataka Level gani
 
Haha tumia fastlevel ww ukanunue chuma ufunge horsepower yamaana...

Mana bila heavy engine ukiteleza kidogo tu huwez vuta trailer linakushinda nguvu

Yani mim hapa nipo na 3000hp napanda milima fasta kwa umakin..ila kama una engene stock zile..basi utanyata sana..nanusiombe ukala mzinga
Duh unasema kweli Mkuu mm nimiamkia asubuhi maana nipo level ya 78 sijaweza nunua Scania au Volvo Globetrotter wananipa MAN nk naendelea cha ajabu tangia asubuhi mpaka jioni sijamaliza trip moja ni kukwama na kijiko nilichobeba hakiendi kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaa ni kwel unakuta ndio umeanza safar unaambiwa wanasubr mzgo wao....

Mimi mizigo sijawaisha ila najithd kukimbia nikipata upenyo mana si nina Horsepower kubwa..so atleast nawahi wahi
Ila kama una stock engene sahau kuwahi

Back
Top Bottom