Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unajua ninachokkifanya nisirudi nyuma au gereji, nina SAVE kila hatua,Ngoja niweke check point,ukiifikia hiyo nitasema kweli umeiva miliman
Sent using Jamii Forums mobile app
piga Game MkuuHii Version mpya mod za no damage hamna..???
Tangu nimelinstall sijalicheza kabisa
unajua ninachokkifanya nisirudi nyuma au gereji, nina SAVE kila hatua,
likijitupa naanzia niliposave la sivyo sifiki
piga Game Mkuu
mm nilikata tamaa sikulijua km sio kcamp nilishataka kurudi Peru
mwanzo unapata vituo vya lami tena vizuri
mieleka ni LAZIMA hata uwe na NO DAMAGE au pesa mingi
gari inajitupa kosa dogo tu
welcome Hondulandia, kweli wenzetu wana barabara hatari
Aaa hii ni kiboko hasa kwa wale waliokuwa wakiendesha 240km/h kule Brazil na milori ya injini kubwa
hivi mimi ninakwama wapi hivi? maana hivi ni vitu muhimu sana kwanguHii map puno ikasome walahiView attachment 1297652View attachment 1297653View attachment 1297654View attachment 1297655View attachment 1297657
Sent using Jamii Forums mobile app
oohoo! naona mambo ni moto moto.mkuu saluti sana kwakoVolvo baada ya kufunga engene mod inapanda milima kama inakichaa vile[emoji16]View attachment 1299045View attachment 1299046View attachment 1299047View attachment 1299048View attachment 1299049View attachment 1299050View attachment 1299051
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani unasubr nin mpaka saiz?hivimimi ninakw
hivi mimi ninakwama wapi hivi? maana hivi ni vitu muhimu sana kwangu
oohoo! naona mambo ni moto moto.mkuu saluti sana kwako
Duh unasema kweli Mkuu mm nimiamkia asubuhi maana nipo level ya 78 sijaweza nunua Scania au Volvo Globetrotter wananipa MAN nk naendelea cha ajabu tangia asubuhi mpaka jioni sijamaliza trip moja ni kukwama na kijiko nilichobeba hakiendi kabisaHii honduland sio poa kabisa, kama una uchovu usicheze hii kitu...Janà nimeijaribu na uchovu wangu nimeshia kuzima Pc na kulala
Mkuu mbona Developer wa hili game la Hondulandia katutegea TIMER yaani unachukua mzigo wa 408km kwa uda wa masaa 18 uwe umefika, lkn ukiangalia remaining Timer unakuta kabla ya kuanza unakuta zimebaki masaa 11 tuYani huku honduland utakuta tushamalza miji yote ww bado
HIV zipogo hiz@kcamp unatumia hii kitu au keyboard tu?View attachment 1285343
Duh unasema kweli Mkuu mm nimiamkia asubuhi maana nipo level ya 78 sijaweza nunua Scania au Volvo Globetrotter wananipa MAN nk naendelea cha ajabu tangia asubuhi mpaka jioni sijamaliza trip moja ni kukwama na kijiko nilichobeba hakiendi kabisa
Hii honduland sio poa kabisa, kama una uchovu usicheze hii kitu...Janà nimeijaribu na uchovu wangu nimeshia kuzima Pc na kulala
Sent from my SM-G532F using Tapatalk
Mkuu mbona Developer wa hili game la Hondulandia katutegea TIMER yaani unachukua mzigo wa 408km kwa uda wa masaa 18 uwe umefika, lkn ukiangalia remaining Timer unakuta kabla ya kuanza unakuta zimebaki masaa 11 tu
nusu ya safari tayari alarm ya kuchelewa inalia
je kcamp kuna mzigo umeshauwahisha????
mm yote ni red ya LATE