Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Hii picha nilipost makusud..hapa hapapitik kirahis sjui gari inakwama wapi...mwanzo nilihisi ni bug kwamba huez endelea zaid ya hapo...ila nikatoa trailer kichwa kikapita....basi nikaangaika wee hadi nikapita...

Then nikaja funga engene mod kwaiyo napita kwa kuvuta sana gari...hapo nahis kuna jini halitaki gari zipite[emoji16]
View attachment 1300340
Mkuu kcamp naona una Volvo Globetrotter hapo kwenye kichaa (hawa wanaozurura barabarani nawagonga tu la sivyo kumkwepa ni mweleka) huyo anayeongoza gari mm ndio mwisho wangu hapo nimekwama na Caterpiller linakwama sijui mti Jiwe au huyo jmaa namgonga nimezima Game nitarudi baadae nipo na Volvo ndogo sijanunua bado sijui wanataka Level gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii picha nilipost makusud..hapa hapapitik kirahis sjui gari inakwama wapi...mwanzo nilihisi ni bug kwamba huez endelea zaid ya hapo...ila nikatoa trailer kichwa kikapita....basi nikaangaika wee hadi nikapita...
Then nikaja funga engene mod kwaiyo napita kwa kuvuta sana gari...hapo nahis kuna jini halitaki gari zipite[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi ni kweli, mm nimekwama tangu asubuhi najitupa wapi na kuna kichaa ananikera anarusharusha mamikono nikadhani ananikwamisha 😀 😀 namgonga wapi!!!
fastlevel nimefika 78 na money zaidi ya Euro 2m lakini wananiuzia MAN na IVECO ndio najikongoja labda nitakuta Scania level 100
ngoja nikaing'oe Truck kwenye huo mti
 
Ww ukipata route ya mji wa pili kule ndio kuna dealer wa volvo
Basi ni kweli, mm nimekwama tangu asubuhi najitupa wapi na kuna kichaa ananikera anarusharusha mamikono nikadhani ananikwamisha 😀 😀 namgonga wapi!!!
fastlevel nimefika 78 na money zaidi ya Euro 2m lakini wananiuzia MAN na IVECO ndio najikongoja labda nitakuta Scania level 100
ngoja nikaing'oe Truck kwenye huo mti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo mkuu pazito..pakikushinda nenda garage..utakua umeshafika safar yako..then saka truck dealer..ukikosa volvo,basi beba mzgo mpya
Basi ni kweli, mm nimekwama tangu asubuhi najitupa wapi na kuna kichaa ananikera anarusharusha mamikono nikadhani ananikwamisha 😀 😀 namgonga wapi!!!
fastlevel nimefika 78 na money zaidi ya Euro 2m lakini wananiuzia MAN na IVECO ndio najikongoja labda nitakuta Scania level 100
ngoja nikaing'oe Truck kwenye huo mti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani hii chuma ina nipa raha sana[emoji16]View attachment 1300412
ets2_20191222_023631_00.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama kuna mtu huwa anatabia ya kupita pita kwenye thread hii. pasipo kutoa coment wala like. aanze kutoa like na ku coment kuanzia leo. e bwaaana weee hondula ni pagumu, hondula ni pabaya. yaani hakutamaniki hata kidogo. yaani toka ahsubuhi mpaka usiku huu sija faulu hata mishe moja zaidi ya miereka tu. yaani ni hivi kati ya map zooote hii ndo inaweza kuwa ni ngumu kwangu kuliko zooote.kwanza unatakiwa ule ushibe kisha uoge kisha toa mawazo yoote nahisi ndo utafaulu hata mishe moja bila kufanya hivyo hautoboi ng'o shuklani sana mkuu kwa kuleta n la kutusumbua akili.
 
Attachments

  • ets2_20191222_172303_00.png
    ets2_20191222_172303_00.png
    1 MB · Views: 2
  • ets2_20191222_172139_00.png
    ets2_20191222_172139_00.png
    1.3 MB · Views: 3
Haha asee tena uko na stock engine basi utapata tabu sana
kama kuna mtu huwa anatabia ya kupita pita kwenye thread hii. pasipo kutoa coment wala like. aanze kutoa like na ku coment kuanzia leo. e bwaaana weee hondula ni pagumu, hondula ni pabaya. yaani hakutamaniki hata kidogo. yaani toka ahsubuhi mpaka usiku huu sija faulu hata mishe moja zaidi ya miereka tu. yaani ni hivi kati ya map zooote hii ndo inaweza kuwa ni ngumu kwangu kuliko zooote.kwanza unatakiwa ule ushibe kisha uoge kisha toa mawazo yoote nahisi ndo utafaulu hata mishe moja bila kufanya hivyo hautoboi ng'o shuklani sana mkuu kwa kuleta n la kutusumbua akili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1300340
Mkuu kcamp naona una Volvo Globetrotter hapo kwenye kichaa (hawa wanaozurura barabarani nawagonga tu la sivyo kumkwepa ni mweleka) huyo anayeongoza gari mm ndio mwisho wangu hapo nimekwama na Caterpiller linakwama sijui mti Jiwe au huyo jamaa ninayemgonga ndio sababu
kwa sasa nimezima Game nitarudi baadae nipo na Volvo ndogo sijanunua bado sijui wanataka Level gani
Map ya wap hi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom