Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

[emoji1][emoji1] nimeshazoea baada ya root moja ninapanda mpaka level ya 30 huko...hii map wameweka ngumu eet.?
Sent from my SM-G532F using Tapatalk
Ni ngumu kweli, lkn km una Fast level Game la pili tu utavuka kote huko
wakati wa New Profile ulianza na Fastlevel, maana km unaingiza katikati ya safari niliona money haziongezeki.
 
Ni ngumu kweli, lkn km una Fast level Game la pili tu utavuka kote huko
wakati wa New Profile ulianza na Fastlevel, maana km unaingiza katikati ya safari niliona money haziongezeki.
Fastlevel naweka wakati nacreate profile lakini nikimaliza root moja tu haipandi, au wenzangu fast level ipi mnatumia?
 
Fastlevel naweka wakati nacreate profile lakini nikimaliza root moja tu haipandi, au wenzangu fast level ipi mnatumia?
Post # 557 uliwekewa tayari na ndio hiyohiyo tunatumia wanasema REMEMBER TO MAKE A NEW PROFILE hebu jaribu tena utaona figue ya 2000000 EURO
hii nayo wanasema unaweza ingizia wakati Game likiendelea
Start Money and XP Update
This mod give you free 1.000.000.000$ and XP 900.000 when you create new profile
But if you want to increase the level you do not need to recreate a new profile but you have to connect the job
Tested: ETS2 1.34 - 1.35
 
Hamuwezi amin kuna map ya bongo,kibaha hadi mikumi[emoji16][emoji16] stay tune nitaipost hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
safi sana naona pale Bwawani Mpakani na Moro watatuwekea tuvukwe kwenye Dimbwi
Duh I see Developer ni nani, km ni ww Hongera Mikumi kwenye mbuga tuwekee 🙆‍♂️ 🙆‍♂️ 🙆‍♂️ 😀🙆‍♂️
 
Haha huyo developer labda atoke Jupiter mkuu... bongo tutasubr sana

Sema kuna kimap kipya kitam kwel..naweka link hapa
safi sana naona pale Bwawani Mpakani na Moro watatuwekea tuvukwe kwenye Dimbwi
Duh I see Developer ni nani, km ni ww Hongera Mikumi kwenye mbuga tuwekee [emoji2297] [emoji2297] [emoji2297] 😀[emoji2297]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Map tamu hii wakuu....ina mazingira amazing sana...yani ukichoka misukosuko ya hundoland unapumzka na hii
ets2_20191229_053539_00.jpeg
ets2_20191229_052137_00.jpeg
ets2_20191229_081555_00.jpeg
ets2_20191229_081814_00.jpeg
ets2_20191229_083308_00.jpeg
ets2_20191229_083337_00.jpeg
ets2_20191229_083410_00.jpeg
ets2_20191229_083433_00.jpeg
ets2_20191229_083739_00.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom