Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Wazee, hii Map ya Honduland ina shida gani nimeweka fast level na money mod hazifanyi kazi naishia kupwea Euro 200,000 tu na level hazipandi wala nini.
ets2_20191228_071559_00.png
 
Natumia computer ya Toshiba C50-B : processor : intel(R) pentium (R) CPU N3550 @ 2.16GHz (4CPUs) ~2.2GHz na display ni intel(R) HD graphics . Current na cheza Euro truck version 1.32.3s .swali ni je kwa izo specification naweza kucheza euro truck 1.34 au 1.35 ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakikisha RAM iwe na na angalau na 6GB
chini ya hapo ni shida, utasumbbuliwa na steam au kugoma kabisa
 
Wazee, hii Map ya Honduland ina shida gani nimeweka fast level na money mod hazifanyi kazi naishia kupwea Euro 200,000 tu na level hazipandi wala nini.View attachment 1305354
Mkuu naona daraja unalivuka wakati RED ya empty tank inakuita na safari bado sana 🙆‍♂️ 😀
kuhusu Fast level km uliiweka katikati ya Game baada ya kutengeneza Profile Money itagoma
Delete huyo Dereva anza mwanzo na weka kabisa Mod ya Fastlevel, Damagenenda kamalize na optiom ktk Traffic offence, Brake kaza sana na usingizi toa pia ondoa tik ktk steam
 
wajameni ukikutana na mission ya kubeba trekta kama hili hondula usichukue kwani lina mateso
popote kwenye Game la Hondulandia usichukue haya maCaterpiller au crane kwani yanachukua eneo (Cubic) zinazozidi teller, hivyo ni lazima utakwangua milima na majabali
pia hayo maTeller yanakuwa chinichini, njia nzima yanaburuta ardhi na kukwangua
kuna post ya jamaa siikumbuki lakini alielezea namna ya kunyanyua gari au teller hata kapanua (siioni
1577533116034.png
 
Hop utacheza tu
Natumia computer ya Toshiba C50-B : processor : intel(R) pentium (R) CPU N3550 @ 2.16GHz (4CPUs) ~2.2GHz na display ni intel(R) HD graphics . Current na cheza Euro truck version 1.32.3s .swali ni je kwa izo specification naweza kucheza euro truck 1.34 au 1.35 ?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua nn mkuu
Zile link zakwanza zilikua zinakupeleka direct kweny torrent sas his zinadonload kwa defaults apps
Unafanyaje ili iende kwenye torrent

kelphin kepph
 
Hii ni direct link mkuu sio ya torrent...unapakua kwa downloader za kawaida...kama una idm ndio mwake..ila pia hata kwa browser yako inaingia vzur tu
Unajua nn mkuu
Zile link zakwanza zilikua zinakupeleka direct kweny torrent sas his zinadonload kwa defaults apps
Unafanyaje ili iende kwenye torrent

kelphin kepph

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu pc yangu ikifanya kaz muda furan inazima inaleta hi error sijui ata nfanyaje
1577550162016.jpeg

kelphin kepph
 
Back
Top Bottom