Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

View attachment 1303960
hapo treller mbona kule mbele kuna barabara imepita chini ya mamiti mpaka giza, km urefu wa kilomita 40 hivi naona kuna mashetani, mm mpaka PC inagoma maana ina stuck, nikadhani ni resolution nikaenda rekebisha wapi
sasa ukitoka kule Pantano kwenda Hundutopia na mzigo (ukibakiza 1113 km) kuna mti nimeuangusha hampiti (namkumbuka Machibya alivyoliacha Truck London akasema tutalikuta) sijui nani anapita kwa speed ya 40km msitu huo Duh sirudi sasa mpaka mwaka kesho
kweli Hondulandia ni kibok wa hizi ETS-2 funga mwaka 2019
cc The coolest jw, kata shime officiar huo msitu wa mashetani hamjakutana nao huko
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] nimecheka sana mkuu! Umeikumbuka truck yangu niliyoitelekeza baada ya kuibiwa pc.
Kilichonichekesha zaidi ni huo msitu wenye mashetani.. ukaamua kuziba na njia kabisa kwa kuangusha mti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba uchawi hadi kweny ets2[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app

Hilo jini kama la pale kweny ule mti wa muongoza magali
 
Hapana ila nii Developer wa hiyo Map kaweka maluweluwe kuanzia km203 hadi 153 kabla hujafika Mji wa Mwisho wa Pantano
Nimeingia hata kwenye Google hiyo Miji hakuna wala Nchi ya Hondurus majina hayafanani, nimepekua ramani kwei zinafanana na Hondurus nikaja angukia picha ya kcamp imejirudia Google
Hili Game kiboko nimelikubali
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] nimecheka sana mkuu! Umeikumbuka truck yangu niliyoitelekeza baada ya kuibiwa pc.
Kilichonichekesha zaidi ni huo msitu wenye mashetani.. ukaamua kuziba na njia kabisa kwa kuangusha mti
Sent using Jamii Forums mobile app
MACHIBYA huo msitu Kiboko nimetelekeza Volvo lina mbao hapo, sina hamu,
nashangaa wengine maluweluwe hawakutani nayo, hata huo Mti nimesogeza na jiwe
sema safari hii woga hata screen short inagoma
 
View attachment 1303960
hapo treller mbona kule mbele kuna barabara imepita chini ya mamiti mpaka giza, km urefu wa kilomita 40 hivi naona kuna mashetani, mm mpaka PC inagoma maana ina stuck, nikadhani ni resolution nikaenda rekebisha wapi
sasa ukitoka kule Pantano kwenda Hundutopia na mzigo (ukibakiza 1113 km) kuna mti nimeuangusha hampiti (namkumbuka Machibya alivyoliacha Truck London akasema tutalikuta) sijui nani anapita kwa speed ya 40km msitu huo Duh sirudi sasa mpaka mwaka kesho
kweli Hondulandia ni kibok wa hizi ETS-2 funga mwaka 2019
cc The coolest jw, kata shime officiar huo msitu wa mashetani hamjakutana nao huko
mkuu huo kwenye msitu nilipita vizuri tu nikiwa na s 730 yangu
 
Attachments

  • ets2_20191225_095527_00.png
    ets2_20191225_095527_00.png
    813.6 KB · Views: 3
MACHIBYA huo msitu Kiboko nimetelekeza Volvo lina mbao hapo, sina hamu,
nashangaa wengine maluweluwe hawakutani nayo, hata huo Mti nimesogeza na jiwe
sema safari hii woga hata screen short inagoma
ehhh. mbavu zangu mie😂😂😂😂
 
wajameni ukikutana na mission ya kubeba trekta kama hili hondula usichukue kwani lina mateso
 
Attachments

  • ets2_20191226_094613_00.png
    ets2_20191226_094613_00.png
    1.5 MB · Views: 4
View attachment 1303960
hapo treller mbona kule mbele kuna barabara imepita chini ya mamiti mpaka giza, km urefu wa kilomita 40 hivi naona kuna mashetani, mm mpaka PC inagoma maana ina stuck, nikadhani ni resolution nikaenda rekebisha wapi
sasa ukitoka kule Pantano kwenda Hundutopia na mzigo (ukibakiza 1113 km) kuna mti nimeuangusha hampiti (namkumbuka Machibya alivyoliacha Truck London akasema tutalikuta) sijui nani anapita kwa speed ya 40km msitu huo Duh sirudi sasa mpaka mwaka kesho
kweli Hondulandia ni kibok wa hizi ETS-2 funga mwaka 2019
cc The coolest jw, kata shime officiar huo msitu wa mashetani hamjakutana nao huko
Hilo daraja sijalielewa?😀😀
 
mkuu huo kwenye msitu nilipita vizuri tu nikiwa na s 730 yangu
1577479197169.png

jamani ndio msitu huuhuu, je mnapita kwa zaidi ya speed 50km/h basi Volvo yangu ina matatizo maana nimenunua engine ya mwisho kabisa na gearbox ya mwisho kabisa lakin hapo matata hata ggiza lake linaonesha, basi safari njema Hondulandia kiboko
 
Back
Top Bottom