mlima wa mizeituni
JF-Expert Member
- Sep 7, 2019
- 1,387
- 2,444
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] nimecheka sana mkuu! Umeikumbuka truck yangu niliyoitelekeza baada ya kuibiwa pc.View attachment 1303960
hapo treller mbona kule mbele kuna barabara imepita chini ya mamiti mpaka giza, km urefu wa kilomita 40 hivi naona kuna mashetani, mm mpaka PC inagoma maana ina stuck, nikadhani ni resolution nikaenda rekebisha wapi
sasa ukitoka kule Pantano kwenda Hundutopia na mzigo (ukibakiza 1113 km) kuna mti nimeuangusha hampiti (namkumbuka Machibya alivyoliacha Truck London akasema tutalikuta) sijui nani anapita kwa speed ya 40km msitu huo Duh sirudi sasa mpaka mwaka kesho
kweli Hondulandia ni kibok wa hizi ETS-2 funga mwaka 2019
cc The coolest jw, kata shime officiar huo msitu wa mashetani hamjakutana nao huko
Kilichonichekesha zaidi ni huo msitu wenye mashetani.. ukaamua kuziba na njia kabisa kwa kuangusha mti
Sent using Jamii Forums mobile app