Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Naombeni utaratibu wa kubadili lugha kutoka Russia to English. Nili-unstall game sababu nilipiga windows chini, nilipo-install tena game, nilitick kabisa kwenye bendera ya marekani iwe ndio lugha nitakayoitumia, lakini game lilipomaliza kuinstall lugha iliyokuja ni hiyo Russia,. Nimejaribu mara mbili kuistall lakini hali inajirudia hiyohiyo.
 
@kcamp msaada hapa

Sent from my SM-G532F using Tapatalk
 
Bado umekwama?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…