Mkuu naomba ile link ya version ya game unayotumia
"utamu wa uji ni kutingisha bakuli"
Mkuu Fanya kama unatugei maujanja bas(achia mod link) hapa jukwaani ili nas tuinjoyDar lux machine [emoji39]View attachment 1343387View attachment 1343388View attachment 1343389
Sent using Jamii Forums mobile app
WAKUU MBONA KIMYA SANA HAPA JUKWAANI AU NDO MMESHAUNDA GLOUP LENU LA KUGEIANA MAUJANJA WHATSAPP
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooooh.kuna map moja hivi inaitwa green bsngladesh ya v 1.35 na 36 he mmeshaijalibu?
Ooooh.kuna map moja hivi inaitwa green bsngladesh ya v 1.35 na 36 he mmeshaijalibu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba link ya hiyo map ya RussiaHii si ya 1.35? Au inakubali 1.36? Mim nilivyoona 1.35 tu nikakaa pemben
Itabdi turud harsh Russia tu..hakuna namna
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naomba na link ya map nyingene nzuri za 1.36Hii si ya 1.35? Au inakubali 1.36? Mim nilivyoona 1.35 tu nikakaa pemben
Itabdi turud harsh Russia tu..hakuna namna
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni ya version za zaman mkuuNaomba link ya hiyo map ya Russia
"utamu wa uji ni kutingisha bakuli"
We umecheza ipi na ipi?Mkuu naomba na link ya map nyingene nzuri za 1.36
"utamu wa uji ni kutingisha bakuli"
Peru death roads
Peru death roads
Hundolandia
"utamu wa uji ni kutingisha bakuli"
ebwaana wee kwanza hiyo ni map gani hiv.Ebwana skilizeni hii V8 sound..yani hadi sichoki kupush huu mndinga wangu
View attachment 1361637
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu bado sijai pakua ila naona jamaa kaachia ya version 1.35 na version 1.36Hii si ya 1.35? Au inakubali 1.36? Mim nilivyoona 1.35 tu nikakaa pemben
Itabdi turud harsh Russia tu..hakuna namna
Sent using Jamii Forums mobile app
ebwaana wee kwanza hiyo ni map gani hiv.
mkuu bado sijai pakua ila naona jamaa kaachia ya version 1.35 na version 1.36
baada ya harsh russia baikal kuomba ni desable dlc sasa nimekata tamaa kabisa na sasa nimeludi brasil