mkuu huwezi amini kuna asilimia chache sana kutoka muda huu nitaanza nami kutengeneza mod za map. so nitaleta mlejesho hapa kwa kila hatua nitakayo fikia

nipe link ya gameKuna mzgo wa map inaitwa honduras aisee balaaa... sema ni ya ATS sio ETS
Itabidi tupakue na American truck simulator ili kuzipiga map zote hizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nime download hii map kila nikijaribu kuicheza game ina stop .game version ni 1.36Yani hapo hadi ulipie membership kwa goba mwenyew ndio unapata access ya kuingia kweny web yao hyo ili kupakua Mambo
Sent using Jamii Forums mobile app
Map gan?Nime download hii map kila nikijaribu kuicheza game ina stop .game version ni 1.36
Sent using Jamii Forums mobile app