Nime download canada map nimecreat account na kui active iyo map kwenye mode ile nikilud kwny selection naiyona Europe tu , canada haiyonekan
Sent using Jamii Forums mobile app
Mod zinakusumbua wapi?Mazee me mods zinanisumbua kuinstall kinoma...napenda kuendesha rough road...hizi lami zimenichosha...baada ya kudisable speed limit na traffic offence sasa hivi natembea mpaka 150 K/PH..SINA HABARI....Nakosa Mods tu mazee
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimefanya kama ulivyo nielekeza tatizo nikifika kwny map sio button au sehemu ya kuscroll ili niweze kuiyona canadaUnatakiwa kufanya hivi,
Extract kwanza pemben iyo Canada map..kisha ndan utapat files mbili moja ni def na nyingine ni map yenyew..sasa zicopy kwenda kweny mod folder...
Baada ya hapo ndio uka activate kweny mod zako..make sure unachagua map canada na def yake ile
Baada ya hapo create acc kisha itafungua Europe map sasa scroll kushoto kabisa utaona miji ya canada
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimefanya kama ulivyo nielekeza tatizo nikifika kwny map sio button au sehemu ya kuscroll ili niweze kuiyona canada
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mouse yako hiyo touch pad..usiniambie mkuu huwez browse hiyo map
Mod iwe sawa n game versionMazee me mods zinanisumbua kuinstall kinoma...napenda kuendesha rough road...hizi lami zimenichosha...baada ya kudisable speed limit na traffic offence sasa hivi natembea mpaka 150 K/PH..SINA HABARI....Nakosa Mods tu mazee
Sent using Jamii Forums mobile app
hii kitu nai fananisha na map ya tasmaniaClip hii hapa,hold right click kisha move left kwa touchpad yako
View attachment 1374206
Sent using Jamii Forums mobile app
Canada ikoje hyo iko poa?mlioko 1.36 nawaona mkijivinjali na map canada
naona iko vizuri sana.au ngoja tumsubili k camp aje atupe mlejesho.Canada ikoje hyo iko poa?
kelphin kepph
naona iko vizuri sana.au ngoja tumsubili k camp aje atupe mlejesho.Canada ikoje hyo iko poa?
kelphin kepph
Mkuu nimefanikiwa ila kila nikitafuta canada naona nchi za Europe tuClip hii hapa,hold right click kisha move left kwa touchpad yakoView attachment 1374206
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nimefanikiwa ila kila nikitafuta canada naona nchi za Europe tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Canada ikoje hyo iko poa?
kelphin kepph
Yan maelekezo uliyonipa mwanza nimeyafuata ila tatizo canada hai display kwenye map
Yan maelekezo uliyonipa mwanza nimeyafuata ila tatizo canada hai display kwenye map
Sent using Jamii Forums mobile app