Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
nipe link ya kudownloadVersion yako ha zaman sana mkuu..njoo 1.34 ndio upate mods latest ikiwemo ya horsepower
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nipe link ya kudownloadVersion yako ha zaman sana mkuu..njoo 1.34 ndio upate mods latest ikiwemo ya horsepower
Nimelidowload week iliyopita lilikua na gb 5 naona kila siku linaongezeka
Kuna la gb 2.8 naona limetolewa ,limebak hilo la gb 6
Inacheza katika low setting hata medium pia ila better zaidi lowsetting utaicontrol gari vizuri kabisa vizuri tuIyo apo kiongoziView attachment 1084075
Ok thank
Kuna la gb 2.8 naona limetolewa ,limebak hilo la gb 6
Wakuu game langu nimeinstal mchana na nimelicheza sana tu nilipokuja kulifungua tena sasa ivi linagoma....nimejaribu kuliinstal tena naona inaishia kuload apo tuView attachment 1084188View attachment 1084189
Sawa mkuu shukrani ila sasa ndo kama unavoona tena apo naomba unisaidie apo nifanyeje tenaInacheza katika low setting hata medium pia ila better zaidi lowsetting utaicontrol gari vizuri kabisa vizuri tu
Hapo download driver hapa
ingawa version ya window 10 hakuna select window 8 64bit then download intel graphics 3000 ikikataa jaribu ATI
Uki install linakwama wapi.?Wakuu game langu nimeinstal mchana na nimelicheza sana tu nilipokuja kulifungua tena sasa ivi linagoma....nimejaribu kuliinstal tena naona inaishia kuload apo tuView attachment 1084188View attachment 1084189
Linaishia kuload tu apo wala amna chochote kinachoendeleaUki install linakwama wapi.?
😃😃😃😃Nimelidowload week iliyopita lilikua na gb 5 naona kila siku linaongezeka