Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Wakuu game langu nimeinstal mchana na nimelicheza sana tu nilipokuja kulifungua tena sasa ivi linagoma....nimejaribu kuliinstal tena naona inaishia kuload apo tu
IMG_20190429_205512.jpg
IMG_20190429_205539.jpg
 
Wakuu game langu nimeinstal mchana na nimelicheza sana tu nilipokuja kulifungua tena sasa ivi linagoma....nimejaribu kuliinstal tena naona inaishia kuload apo tuView attachment 1084188View attachment 1084189
Inacheza katika low setting hata medium pia ila better zaidi lowsetting utaicontrol gari vizuri kabisa vizuri tu
Hapo download driver hapa
ingawa version ya window 10 hakuna select window 8 64bit then download intel graphics 3000 ikikataa jaribu ATI
Sawa mkuu shukrani ila sasa ndo kama unavoona tena apo naomba unisaidie apo nifanyeje tena
 
Wale ambao hatuna laptop badala yake tuna smartphones tu comment wapi?
 
Back
Top Bottom