Wakujilipua
JF-Expert Member
- May 5, 2018
- 1,584
- 1,393
me mwenyewe huwa pananichanganya hapo .Member wakali humu jamani, mnayapata wapi magari ya kimarekani (american Truck simulation) kwenye Euro Truck
maana kuna mahali kwenye Game Play wanauliza unataka USA, Europe or .. sijakuta hii ya Malori ya America
msaada p/se