Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

now ipo mb 400 ikawa inataka sijui steam
Ebu screnshoot tuone unakwama wapi?
window key + prntScr au
Search snipping tool itakusaidia kucapture window screen, halafu upload hapa
 
Ndani ya brazil hii ramani nitamu muno ila Kcamp anasema Harsh Russian baikal ndio ramani kali ila kwangu brazil ni kiboko
ets2_20191119_225032_00.png
ets2_20191120_175541_00.png
 
Ndani ya brazil hii ramani nitamu muno ila Kcamp anasema Harsh Russian baikal ndio ramani kali ila kwangu brazil ni kiboko
View attachment 1267639
Haya Mkuu kwa uzoefu wako Brazil ndio Kiboko! kuliko Harsh Russian wakati Brazil unaweka C gari inamaliza 50km kwa 100km/h km barabara imenyooka Peru hakuna hiyo
hebu ingia Puno Peru ukadrive speed halafu weka C (Cruise Contol) km hukujikuta bondeni
ngoja nikaisake Baikal km wametoa Version ya 1.35
maana za zamani naziona bado wapo 1:24 mpaka 1:30
1574264760373.png
 
View attachment 1267655
Puno Peru pananiuzi vile vitaa vya kwenye barabarani ukivuta mwendo gari linarushwa pembeni na sio kona zake wala milima
 
Ni kweli, vitaa vinatenganisha sight/side za barabara, ukilegeza suspension na cabin naona vinapungua ukitaji wake, mm Brazil imekuwa laini sana, gari unakimbiza hadi 160km/h km barabara za Ulaya
ingawa kuna madimbwi,mito, milima na tope, nitarudi, kuna Mji mmoja huko Peru unapita kwenye matuta kulio ya viazi halafu yana theluji ngoja nifikishe mzigo wao nije Brazil maana ni Bara moja tu na karibu sana sivuki Bahari
 
Ndani ya brazil hii ramani nitamu muno ila Kcamp anasema Harsh Russian baikal ndio ramani kali ila kwangu brazil ni kiboko
View attachment 1267639View attachment 1267641
Ndugu yangu harsh Russian ni moto wa kuotea mbali, umeshawahi kuicheza?

Bado sjaona map tamu kama harsh Russian,,yani map kwanz gari haitulii...minjia kama bongo,,bado kuna miteremko ukisinziaa tu uko bondeni,alaf traffic density iko active,yani ukiwa mzembe hukai kulia,bado milima ya kufa mtu..hayo machaka pori ndio usiseme...yani mkuu harsh Russian usifananishe na brazil hiyo..haifati hata robo

We hushangaia hata goba developer wa harsh Russian kaamua kutulia kwanz..man kapiga kaz kubwa alaf watu wakawa wanashare mods kweny free site...jamaa ali invest ile map

Yani mkuu harsh mwisho [emoji16][emoji16][emoji1373][emoji1373]
 
Haya Mkuu kwa uzoefu wako Brazil ndio Kiboko! kuliko Harsh Russian wakati Brazil unaweka C gari inamaliza 50km kwa 100km/h km barabara imenyooka Peru hakuna hiyo
hebu ingia Puno Peru ukadrive speed halafu weka C (Cruise Contol) km hukujikuta bondeni
ngoja nikaisake Baikal km wametoa Version ya 1.35
maana za zamani naziona bado wapo 1:24 mpaka 1:30
View attachment 1267655
Yani brazil haifati Moto wa harsh Russian hata kidgo
 
Attachments

  • ets2_20191031_083509_00.png
    ets2_20191031_083509_00.png
    1.2 MB · Views: 2
  • ets2_20191011_055707_00.png
    ets2_20191011_055707_00.png
    1 MB · Views: 2
We hushangaia hata goba developer wa harsh Russian kaamua kutulia kwanz..man kapiga kaz kubwa alaf watu wakawa wanashare mods kweny free site...jamaa ali invest ile map
Yani mkuu harsh mwisho [emoji16][emoji16][emoji1373][emoji1373]
nasikia huyu jamaa amekaa pembeni
hata ile ramani yao inagoma Download Baykal r20 original rar
Mkipata nyingine mtushtue
 
mkuu me niliwahi kuwa muumin mzuli sana wa hii map lakini kwangu mimi brazil haiingii hata nusu kwa map ya puno peru
nimepeleka Bus kwenye zile kona zako 14 za YANAHUARA kweli imebidi niombe gereji waje
sasa nierudi tena na Bus la MAN refu hasa nakomaa na hizohizo kona nimePause mpaka kesho ntavuka .
 
Tungepata developer wa bongo atuchoree map moja kutoka kivukoni mpaka chalinze tu apo dah[emoji16]
 
nimepeleka Bus kwenye zile kona zako 14 za YANAHUARA kweli imebidi niombe gereji waje
sasa nierudi tena na Bus la MAN refu hasa nakomaa na hizohizo kona nimePause mpaka kesho ntavuka .
mkuu hapo kupita huwa ni shughuli pevu nina fikilia sku moja nipite na escort transporter cjui itakuaje
 
Attachments

  • ets2_20191114_074929_00.png
    ets2_20191114_074929_00.png
    622.2 KB · Views: 2
Back
Top Bottom