Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Mkuu serious kwa hela hiyo naweza pata mpakato mkali kabisa?
Usinitie moto maana desktop naona bill ya umeme inakuwa kali.
Hii kweny machimbo yangu unapata pc kali tu
 
Mi sio developer mkuu [emoji38][emoji38] machibya niliandika pale kwenye driver name kwahiyo ukiiona kwa mbele utaona machibya! Nilitaka kuwa tofauti na akina sijui Darlington haulage, nikatupia kitanzania zaidi
Pole lilibaki kwenye hiyo PC uliyoibiwa
kwenye Profile name na Mods zote unazotengeneza ni za kwako tu na Computer yako hata ukiturushia hazihamii kwetu tutabaki kuona picha tu ya hizo Truck
ukidelete au mashine ikigoma ni ya kwako mwenyewe
ni sawa nasave ya simu majina yote hayahamii kwa mwenzako Machibya
London, Peru wala Brazil utaishia hapo kwenye PC labda kwa wale wanaojiunga na Connect Profile to the world of truck kwa kutumia Internet ambayo ina maandishi ya kijani lazima uingize e-mail yako
naamini sisi 99.99% hatutumii hapo
 
Mkuu serious kwa hela hiyo naweza pata mpakato mkali kabisa?
Usinitie moto maana desktop naona bill ya umeme inakuwa kali.
Amin nakwambia mkuu [emoji16]..unapata mpakato poa kabisaa
 
Nitakutafuta, nipate yenye gtx 1650 au hata 1050 au zaidi ya hapo si mbaya.
Kama hii sio [emoji2]
IMG-20191209-WA0012.jpeg
IMG-20191209-WA0004.jpeg
IMG-20191209-WA0009.jpeg
 
Road to the black sea Panton linatembea live [emoji1373][emoji1373]
 
Back
Top Bottom