Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Mkuu sorry, mm npo nyuma kidogo... Nshainstall ETS2 1.36, nmedownload na baadhi ya mod (Maps), but nnashindwa kuactivate, Msaada tafadhali...
IMG-20191230-WA0019.jpeg
IMG-20191230-WA0017.jpeg
 
Mkuu sorry, mm npo nyuma kidogo... Nshainstall ETS2 1.36, nmedownload na baadhi ya mod (Maps), but nnashindwa kuactivate, Msaada tafadhali...View attachment 1307558View attachment 1307559
Mkuu fuata step za kweny uzi,ziko clear...

Alaf hapo kweny mod za map,huwezi chagua map zaid ya moja..ww umechagua map 3 tofaut kwa wakati mmoja...

Kama unacheza hiyo honduland basi ichague yenyew tu...kisha kweny playing module pia utachange from Europe to honduland then hapo ndio itaload map yako ya honduland..same kwa map zingine boss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikucheza, tena map ile.. magar yanaisha mafuta hata nusu ya safari sijafika...

Sent from my SM-G532F using Tapatalk
kumbe si mimi tu. mkuu aliye desine hiyo map alikuwa ni mjanja kweli kweli yaani unapo anza safari hakikisha fuel tank liko full na unapo fika nusu ya safari ni lazima uweke mafuta na usipo weka tu bas haufiki mwisho wasafari
 
NI BAADA YA KITAMBO KINGI NA KIREFU SANA SASA NI ZAMU YA
 

Attachments

  • 79320792_428859994662411_5159816002510258176_o.jpg
    79320792_428859994662411_5159816002510258176_o.jpg
    350.3 KB · Views: 2
  • 79432837_431318131083264_3187660581754634240_o.jpg
    79432837_431318131083264_3187660581754634240_o.jpg
    295.3 KB · Views: 2
  • 79774875_429641477917596_8137710862564589568_o.jpg
    79774875_429641477917596_8137710862564589568_o.jpg
    232.5 KB · Views: 2
  • 79829509_432168690998208_435072748201443328_o.jpg
    79829509_432168690998208_435072748201443328_o.jpg
    428 KB · Views: 2
  • 80743279_428948551320222_7990254542119763968_o.jpg
    80743279_428948551320222_7990254542119763968_o.jpg
    242.1 KB · Views: 2
  • 80750386_438720137009730_6714317610718068736_o.jpg
    80750386_438720137009730_6714317610718068736_o.jpg
    401.1 KB · Views: 2
  • 81296037_437881480426929_3393582986329849856_o.jpg
    81296037_437881480426929_3393582986329849856_o.jpg
    370 KB · Views: 2
Wazee hivi kuna button ya kuactivate emegency fueling..na zile option zingine?
Maana ukibonyeza F7 button iliyo active ni ile ya kupeleka gereji tu

Sent from my SM-G532F using Tapatalk
 
mkuu sio yeye tu hali ni tete hata kwa upande wangu
Aisee nyie mnafeli sehem moja...unapoanza,chagua route fupi tu za pale pale town,utazicheza kama mara 4 au 5 kisha level itakua ishafika kubwa kwa msaada wa fastlevel..
Hapo sasa usibebe mzgo..nenda zako kwa truck dealer kanunue volvo...ipimp na tank funga kubwa lile...hapo ndio uanze sasa route ndefu...mm tank yangu napiga route mbili ndefu ndio najaza tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu machine yangu imeshasizi
Hapa nataka shusha windows... Nifute zote
Nidondoshe36 au mnasemaje mazee,[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

kelphin kepph
 
Wazee hivi kuna button ya kuactivate emegency fueling..na zile option zingine?
Maana ukibonyeza F7 button iliyo active ni ile ya kupeleka gereji tu

Sent from my SM-G532F using Tapatalk
mkuu mafuta yanapo kuishia bas fanya hiv. bonyeza f7 kisha italeta huduma za dharula kisha bonyeza enter utaona huduma kama nne hiv {1} tow to service {2} emergency refueling [3] adjust trailer [4] dismiss trailer. kisha chagua hiyo namba mbili ila watakupatia mafuta kidogo
 
Aisee nyie mnafeli sehem moja...unapoanza,chagua route fupi tu za pale pale town,utazicheza kama mara 4 au 5 kisha level itakua ishafika kubwa kwa msaada wa fastlevel..
Hapo sasa usibebe mzgo..nenda zako kwa truck dealer kanunue volvo...ipimp na tank funga kubwa lile...hapo ndio uanze sasa route ndefu...mm tank yangu napiga route mbili ndefu ndio najaza tena

Sent using Jamii Forums mobile app
hakuna kitu ninacho kizingatia kama kuongeza xp,money and power engine. labda huyu jirani ndo naona anahangaika. nikichukua root moja tu xp 900000000 level inapanda mpaka ya 3000 devine champion huku money nayo ni zaid ya euro 6000000000
 

Attachments

  • ets2_20191231_145820_00.png
    ets2_20191231_145820_00.png
    530.9 KB · Views: 2
Back
Top Bottom