Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Attachments

  • Shot 016.png
    Shot 016.png
    844.4 KB · Views: 2
ndiyo ipo moja nacheza demo mode
mkuu naona mdudu tayale anaenda kujulikana hivi punde. bas unstall hilo game lako lote la zamani kisha install hili game jipya. au fanya ku update hilo game lako unalocheza kama demo mode na litahamia v 1.36 kisha litaomba key bas ukiona hivyo nenda katengeneze acc ya steam ili upate key.
 
Me nimelicheza na sijawahi sumbuliwa na huo ujinga hakikisha umeweka crack kama inatakiwa.
Ninachojua, code hudaiwa kwa og game.
mkuu hivi unaelewa kweli? hapo ninaomba key za steam ili niweze ku derete au ku disable DLC ya going east and harvy cargo kwani ninataka kucheza map ya harsh russian baikar R20 .[ samahani lakin]
 

Attachments

  • Shot 022.png
    Shot 022.png
    1 MB · Views: 2
  • Shot 023.png
    Shot 023.png
    752.2 KB · Views: 2
Msione kimya
Kuna map ya Brazil inamitihan had sio pow
Safar moja mbanga3

kelphin kepph
 
Back
Top Bottom