Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Mkuu huyu Mr goba sijui ana mapepo. Yaani simuelewi kabisa.

Site ya goba hiyo..tena naskia harsh Russia ya 1.36 ipo..sema ndio huingii kweny site yake bila password anaijua yeye mwenyew na members wake

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaaah.mwenzenu hapa Nina majanga.modelm yangu.imehalibika.yaani imenikosesha raha kabisa, nimeshatafuta nyingine lakini wapi sasa nimeshamaliza wilaya nzima(bunda) lakini sijapata
1580709182954.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom