Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Mkuu ile TE tool mbona kila nikijiongezea money kwenye game haiongezeki.
Nimefanikiwa kuongeza level tu

Sent from my SM-G532F using Tapatalk
Labda kuna kitu unakosea.. Angalia usiweke amount kubwa sana maana nayo sometimes huwa inagoma.. Jaribu kuweka amount isiwe kubwa kupitiliza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona Indonesia kumenoga kweli kweli...
Hiyo naifananisha na Norte Brasil.. Nako barabara zote ni nyembamba (1 lane) afu kuna sehem ni vumbi na tope la kufa mtu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kunasehem pale kwenye main menu
Wameandika signkey Hapo unaifanya padi yako unavotaka wewe
Mfano Mimi exreta natumia pad reverse natumia padi
Engine Blake's natumia pad alagu gear box yangu Ni manual[emoji16][emoji16][emoji16]
Nikitaka ingiza gia lazima ukanyage crutch si ndio ndo uingize nau utoe na vyote ivo nafnya kwenye pad yan kifupi raha tupuView attachment 1419593

kelphin kepph
Yah manual raha sn lazima utie clutch ndo uingize gear ata kwenye keyboard
 
ets2_20200411_185301_00.png

ets2_20200411_185555_00.png

Kwa wale wanaohitaji zile mod za kampuni za kibongo. Original owner wa hizi mod ni huyu : Makampuni ya Tanzania katika game la Euro Truck Similator 2 - JamiiForums

mimi sanasana nimezifanya ziwe compatible na version mpya za ets tu kadri zinavyotoka, hizi mod ni za tangu 2011 ila nimejaribu kuzifanya ziwe compatible na ets version mpya inavyotoka na kila ets nimekuwa nazitumia bila shida

Download link ya mods: 0 byte file on MEGA

ukishadownload extract hizo file zote kwenye moda folder na zote ziweke ziwe active.
 
View attachment 1423758

View attachment 1423766

sasa huu upele ndo kwanza umepata wakunaji. wacha sasa tuukune.
 
Vp km ntahitaji kununua online hiyo steering wheel ya ets2 bei inakaaje mkuu
Sema online unaweza pata hata bei chini kidogo maana mfano eBay unakuta mtu anauza ya kwake so bei inakuwa pungufu kidogo.. Mi nlishawahi kuta mtu anauza yake dola 30 na kama unavyojua used za wazungu kama mpya tu.. Ila kwa dola 40 unapata nzuri tu.. Nenda eBay

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema online unaweza pata hata bei chini kidogo maana mfano eBay unakuta mtu anauza ya kwake so bei inakuwa pungufu kidogo.. Mi nlishawahi kuta mtu anauza yake dola 30 na kama unavyojua used za wazungu kama mpya tu.. Ila kwa dola 40 unapata nzuri tu.. Nenda eBay

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mm cjawahi nunua kitu online hv hao eBay c ni lazima kwanza ni install app yao?
 
Back
Top Bottom