kcamp
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 8,517
- 7,984
- Thread starter
- #2,201
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda kuna kitu unakosea.. Angalia usiweke amount kubwa sana maana nayo sometimes huwa inagoma.. Jaribu kuweka amount isiwe kubwa kupitilizaMkuu ile TE tool mbona kila nikijiongezea money kwenye game haiongezeki.
Nimefanikiwa kuongeza level tu
Sent from my SM-G532F using Tapatalk
Passenger mod haikubali kwa kila map.. Map nyingine ukiweka passenger mod inaishia ku crash tu.. Sana sana soma maelezo ya mod kabla hujaiweka
Ndo maana huwa nawashauri sana kabla huja download mod yoyote soma maelezo yake kwanza...Mkuu sio map zote zinatokea kweny playing module...ww add kisha start game
Sent using Jamii Forums mobile app
Yah manual raha sn lazima utie clutch ndo uingize gear ata kwenye keyboardMkuu kunasehem pale kwenye main menu
Wameandika signkey Hapo unaifanya padi yako unavotaka wewe
Mfano Mimi exreta natumia pad reverse natumia padi
Engine Blake's natumia pad alagu gear box yangu Ni manual[emoji16][emoji16][emoji16]
Nikitaka ingiza gia lazima ukanyage crutch si ndio ndo uingize nau utoe na vyote ivo nafnya kwenye pad yan kifupi raha tupuView attachment 1419593
kelphin kepph
Naona Indonesia kumenoga kweli kweli...
Hiyo naifananisha na Norte Brasil.. Nako barabara zote ni nyembamba (1 lane) afu kuna sehem ni vumbi na tope la kufa mtu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ebu nikumbushe link yake uliweka post ya ngapi?
Ebu nikumbushe link yake uliweka post ya ngapi?
Sent from my SM-G532F using Tapatalk
Sekyuu veri veri machi.....
Download passageiros mod rar tumia hiiWakuu ukiactiva mood ya blasil huwezi kucheza mod ya basi na Mimi napenda kupakia abilia hivyo nnaitafuta mod ya kijijini ila iwena uwwzo wakuchukua abilia
kelphin kepph
sasa huu upele ndo kwanza umepata wakunaji. wacha sasa tuukune.View attachment 1423758
View attachment 1423766
Kwa wale wanaohitaji zile mod za kampuni za kibongo. Original owner wa hizi mod ni huyu : Makampuni ya Tanzania katika game la Euro Truck Similator 2 - JamiiForums
mimi sanasana nimezifanya ziwe compatible na version mpya za ets tu kadri zinavyotoka, hizi mod ni za tangu 2011 ila nimejaribu kuzifanya ziwe compatible na ets version mpya inavyotoka na kila ets nimekuwa nazitumia bila shida
Download link ya mods: 0 byte file on MEGA
ukishadownload extract hizo file zote kwenye moda folder na zote ziweke ziwe active.
100%
Wajanja hapa naona wanakupiga tu.Kwny android ukijaribu kupakua apk ya ets2 inazingua yn inakuwa km imekubali zen uki install na kuifungua inafunguka km ets2 ya kwny pc lkn baadae inaleta msg [emoji116][emoji116][emoji116]cjui kwnn au ndo wizi tuView attachment 1416440View attachment 1416441
Laki 3.5 hadi 6Hv km unahitaji accessories like steering kwa ajili ya kusukumia ets2 unaweza pata kwa shs ngp na maduka gn mkuu
Vp km ntahitaji kununua online hiyo steering wheel ya ets2 bei inakaaje mkuuLaki 3.5 hadi 6
Gamestoptz wanazo waweza kuwacheki instagram.
Bei inacheza humo humo.Vp km ntahitaji kununua online hiyo steering wheel ya ets2 bei inakaaje mkuu
Sema online unaweza pata hata bei chini kidogo maana mfano eBay unakuta mtu anauza ya kwake so bei inakuwa pungufu kidogo.. Mi nlishawahi kuta mtu anauza yake dola 30 na kama unavyojua used za wazungu kama mpya tu.. Ila kwa dola 40 unapata nzuri tu.. Nenda eBayVp km ntahitaji kununua online hiyo steering wheel ya ets2 bei inakaaje mkuu
Mkuu mm cjawahi nunua kitu online hv hao eBay c ni lazima kwanza ni install app yao?Sema online unaweza pata hata bei chini kidogo maana mfano eBay unakuta mtu anauza ya kwake so bei inakuwa pungufu kidogo.. Mi nlishawahi kuta mtu anauza yake dola 30 na kama unavyojua used za wazungu kama mpya tu.. Ila kwa dola 40 unapata nzuri tu.. Nenda eBay
Sent using Jamii Forums mobile app