Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

ok sawa,, but ets2 la kweny simu lipo, changamoto ni kwenye kuli-instal, nilifuatilia kwa jamaa flani wa kihindi kupitia Youtube anaonyesha anavoliweka lakini mimi nilikwama kwenye kipengele cha ku-confirm kwamba mimi sio roboti jambo ambalo nilishindwa hadi sasa nacheza kwenye PC tu
Ulikuwa unapoteza muda wako. Wenzio hao wanatafuta viewers tu. Ukitaka kuamini shuka chini soma comments za wenzio. (Kama hajaweka comments off sijui)
 
Nashukuru mkuu ngoja nizijaribu hapa.
Kama mimi nilidownload hii ila inanisumbua ina glitches kwenye lightings zote. kukiwa na taa za barabarani au taa za gari pamoja na indicator, zikiwaka zinaonyesha mabox mekundu na ukubwa wake inategemea ukubwa wa hizo taa zinazowaka wakati huo
 
Nashukuru mkuu ngoja nisubiri mods ziongezeke tu
 
GAME V 1.36 MAP HONDULA A K A HARD WAY TRUCK SCANIA S 730 HP V8 WHITH DOUBLE TRAILER CITY FROM FERDNANDO GAMER TO KIEL DISTANCE KM 1420 43 HOURS IN ROAD DERVERED CARGO ON TIME
 
Attachments

  • ets2_20200521_044614_00.png
    ets2_20200521_044614_00.png
    1.7 MB · Views: 1
  • ets2_20200521_060349_00.png
    ets2_20200521_060349_00.png
    797.5 KB · Views: 1
  • ets2_20200521_062209_00.png
    ets2_20200521_062209_00.png
    1.1 MB · Views: 1
  • ets2_20200521_062607_00.png
    ets2_20200521_062607_00.png
    1.1 MB · Views: 1
  • ets2_20200521_081752_00.png
    ets2_20200521_081752_00.png
    812.3 KB · Views: 1
  • ets2_20200521_085111_00.png
    ets2_20200521_085111_00.png
    778 KB · Views: 1
Back
Top Bottom