Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

mnaionaje hii lain iko vizuri?
 
Attachments

  • IMG-20200427-WA0004.jpg
    IMG-20200427-WA0004.jpg
    52 KB · Views: 1
Ni mods za magari tu hizo.. Sio game.. Bora hata ingekuwa map za tanzania.. Ila naona wanauza mods za mabasi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok usijekuta ni picha tu za Mabasi na Malori ambapo mchoraji katumia Adobe
Ramani ni ya Indonesia, Miji ni ya Indonesia
sasa weke hata Video clip tuone Yutong zinavyomove
 
Wakuu nimemaliza kudownload hiz mods za ets2 1.37 za russia southern map lakn nashangaa inagoma, yan nimeextract na kukopy na kwenda kupaste kwenye file la mod lakn sion mabadiliko. shida itakua nn wakuu
 
Ni kweli Mkuu, lkn ukifuatilia majadiliano yao hao Warusi na wachache wasio warusi ni kuwa uExtract mafail yote 6 peke yao kwenye ukurasa Mod mmoja, halafu unafungua hilo la juu #001 nimejaribu nimekwama
hebu fuatilia hapa, mm nitarejea usiku mtandao ukitulia

1590320351171.png1590320426049.png
 
tupo
Ngoja nifatilie mkuu shukrani tupeane taarifa
pamoja Mkuu hata ukipata Map ingine ya 1.37 tuwekeane hadharani aua uniTAG na mm niichukue
hichi kijiji cha 1.37 tumebaki wageni wenzetu wamebaki nyuma, mm kurudi nashindwa bora tuwasubiri hukuhuku
 
Ni kweli Mkuu, lkn ukifuatilia majadiliano yao hao Warusi na wachache wasio warusi ni kuwa uExtract mafail yote 6 peke yao kwenye ukurasa Mod mmoja, halafu unafungua hilo la juu #001 nimejaribu nimekwama
hebu fuatilia hapa, mm nitarejea usiku mtandao ukitulia

View attachment 1458407View attachment 1458409
Mkuu ina maana inaid niextract mafaili yote au lile la kwanza mkuu?
 
tupo

pamoja Mkuu hata ukipata Map ingine ya 1.37 tuwekeane hadharani aua uniTAG na mm niichukue
hichi kijiji cha 1.37 tumebaki wageni wenzetu wamebaki nyuma, mm kurudi nashindwa bora tuwasubiri hukuhuku
Sawa mkuu tupo pamoja.
 
Back
Top Bottom