Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka specs zako hapa tuoneNina surface pro 7 je ninaweza kucheza euro truck simulator. Kama ndio naombeni wakuu link nisukume likizo yangu vizuri hapa.
Amna mbona kawaida na Lev nimefikia devin champion level zote nimemalizaWe kiboko [emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119]
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Hii hapa
Mkuu hyo processor yako sina uhakika nayo..pia ram atleast ingekua 6
Jamani mwenye kulijua bus simulator kali la kwenye simu anitajie
Kwenye processor hapo apajakaa poa, naona kama speed yake yan hizo Ghz ni ndogo.
Sijaichezea games, zaidi kazi za ofisini, Skype, zoom n.kKwenye processor hapo apajakaa poa, naona kama speed yake yan hizo Ghz ni ndogo.
Vp games na kazi zingne performance ikoje kwa hiyo Pc yako.
Asante Mkuu Kwa ushauri.Mkuu hyo processor yako sina uhakika nayo..pia ram atleast ingekua 6
Anwayz unaweza pakua ukajarbu mkuu..link si umeziona?
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
hongela mkuu mi ninao wawiliYan apo madereva 235 wote nimewapa kazi
Mm nime waajiri wote mpaka nimemaliza na kila mmoja trela zakutosha nna bado garage azina watuhongela mkuu mi ninao wawili
mmja ana scania v8 730 hp
mwingine ana volvo fh hp 750
wana niletea euro 3000 kila mmja natamani niwafute kazi mwote maana pesa ni ndogo zaidi ya gharama niliyo nunulia truck
Download kitu kinaitwa direct x 11 af instal then check, mi pes 2020 siijui fresh naiwezea 2017Wakuu nlikua na install pes 2020 ila likagoma Ku play liliandia d3dx9_43dill missing
Ko msaada nafanyaje ili likubal sio mbobezi sana kwenye upande wa computer na software hivyo ambae atakua tayari kunisaidia naomba anipe maelezo ntayojitahid kuyaelewa
Hicho kitu hakipo utateseka bure tuWakuu mwenye kufahamu jinsi ya kudownload Euro truck simulator 2 ppsspp version au mwenye link anifahamishe, nimejaribu isoroms lakini hamna kitu ..
Utapata tabu sana...we tafuta pc tu kama unataka ets2 mkuuWakuu mwenye kufahamu jinsi ya kudownload Euro truck simulator 2 ppsspp version au mwenye link anifahamishe, nimejaribu isoroms lakini hamna kitu ..
SawaUtapata tabu sana...we tafuta pc tu kama unataka ets2 mkuu
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app