Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Nina surface pro 7 je ninaweza kucheza euro truck simulator. Kama ndio naombeni wakuu link nisukume likizo yangu vizuri hapa.
 
Weka specs zako hapa tuone

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Hii hapa
IMG_20201227_104437.jpg
 
Kwenye processor hapo apajakaa poa, naona kama speed yake yan hizo Ghz ni ndogo.
Vp games na kazi zingne performance ikoje kwa hiyo Pc yako.
Sijaichezea games, zaidi kazi za ofisini, Skype, zoom n.k
 
Yan apo madereva 235 wote nimewapa kazi
hongela mkuu mi ninao wawili
mmja ana scania v8 730 hp
mwingine ana volvo fh hp 750
wana niletea euro 3000 kila mmja natamani niwafute kazi mwote maana pesa ni ndogo zaidi ya gharama niliyo nunulia truck
 
Mm nime waajiri wote mpaka nimemaliza na kila mmoja trela zakutosha nna bado garage azina watu
 
Wakuu nlikua na install pes 2020 ila likagoma Ku play liliandia d3dx9_43dill missing

Ko msaada nafanyaje ili likubal sio mbobezi sana kwenye upande wa computer na software hivyo ambae atakua tayari kunisaidia naomba anipe maelezo ntayojitahid kuyaelewa
 
Download kitu kinaitwa direct x 11 af instal then check, mi pes 2020 siijui fresh naiwezea 2017
 
Wakuu mwenye kufahamu jinsi ya kudownload Euro truck simulator 2 ppsspp version au mwenye link anifahamishe, nimejaribu isoroms lakini hamna kitu ..
 
😉 😉 😉 😉
 
Attachments

  • ets2_20201229_093148_00.png
    ets2_20201229_093148_00.png
    1.7 MB · Views: 2
  • ets2_20201229_093202_00.png
    ets2_20201229_093202_00.png
    2 MB · Views: 3
  • ets2_20201229_095319_00.png
    ets2_20201229_095319_00.png
    1.7 MB · Views: 3
  • ets2_20201229_083121_00.png
    ets2_20201229_083121_00.png
    1.5 MB · Views: 3
Back
Top Bottom