Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Mkuu ww kiboko,vp Mario map umeipiga? Mana ile imesheheni miji hadi kuload kipengele

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
kama una linki ww nipe mm swala la bando sio ishu sana na iwe capable na vision ya 1.43 ndo inakuwa unyama maana saivi nataka niode huu mzigo amazoni mambo ya kikaasawa

Skytech Prism II Gaming Computer PC Desktop - AMD Ryzen 7 5800X 8-Core 3.8GHz, RTX 3080 Ti 12G GDDR6X, 1TB NVMe Gen4 SSD, 16GB DDR4 3200, RGB Fans, 360mm AIO, AC WiFi, Windows 10 Home 64-bit, White​

814iGw8XwqL._AC_SL1500_.jpg
 
wazee kitambo sana....naombeni msaada qenu kwanza kwa upande wa pili
nilikua nafanya window activation kupitia KMSPICO...kilichotokea ni data azifunguko...nahisi zimebadili filea kufungulia.ila kurudisha ndo imekuwa mziki...zinaonekana kama apa chini
20220324_075231.jpg
View attachment 2166028View attachment 2166029
 
sometime inaniqmbia document corrupted sometime pia inaniambia document has the problem
20220324_075327.jpg
 
da wakati watu wanapambana na stand alone map uku na pambana na kuizunguka dunia ila unajua nini katishime pambana na wewe map yako niikute uku ili nini ata kuinunua nirahisi maana najua nakuja adi bongo maana mm kucheza kwenye ramani ya miji mitano au sita da yani siwezi nataka nilione li map likubwa ndo nifurahi afu cargo za mbali ndo inakuwa unyama sana but nilipambana kusoma tutorial nyingi ndo nikajua jinsi ya kuunganisha izi ramani maana ukikosea moja tuu kila kitu kina haribika either ukose ferry connection au game lako li crash lisiwe lina funguka maana kuna map zinahitaji high priority na nindogo kama project balkans na macedonia rework zinaitaji uangalizi sana but
kama vip #katshime uweke map yako na wewe humu tuendelee kupambana

View attachment 2145624

View attachment 2145627

View attachment 2145628

View attachment 2145629

View attachment 2145630

View attachment 2145631

View attachment 2145632

View attachment 2145634

View attachment 2145635

View attachment 2145636

View attachment 2145637

View attachment 2145638

View attachment 2145639

View attachment 2145640

View attachment 2145641

View attachment 2145643

View attachment 2145644

View attachment 2145647

View attachment 2145648

View attachment 2145650

View attachment 2145652

View attachment 2145653

View attachment 2145654

View attachment 2145655

View attachment 2145656

View attachment 2145657

View attachment 2145658

View attachment 2145659

View attachment 2145660

View attachment 2145661
kaka umetisha ile mbaya
 
ivi wazee nawezaje join kwenye comvoy maaana kila nikijaribu naambiwa session ime exper sasa nashindwa kama kuna mtu ana cheza comvoy anieleweshe basi
yap
wazee wa murtplayer tuko hapa
niulize chechote usichokijua kuhusu murtplayer nitakuelekeza .
 
kama una linki ww nipe mm swala la bando sio ishu sana na iwe capable na vision ya 1.43 ndo inakuwa unyama maana saivi nataka niode huu mzigo amazoni mambo ya kikaasawa

Skytech Prism II Gaming Computer PC Desktop - AMD Ryzen 7 5800X 8-Core 3.8GHz, RTX 3080 Ti 12G GDDR6X, 1TB NVMe Gen4 SSD, 16GB DDR4 3200, RGB Fans, 360mm AIO, AC WiFi, Windows 10 Home 64-bit, White​

View attachment 2162045
Mzee hii si unaweza tumia hata kule NASA
 
nataka nianze kucheza online
fuata maelekezo yafuatayo

1]ingia google kisha search steam
2]download steam kisha fanya registration
3]ukisha register utaingia hapo kwa steam store kisha utafanya manunuzi ya game la euro truck simulatol 2 kwa kiasi cha dollar 4.99 tu NB hii ni bei ya kipindi cha offer.
4] kama bado hujaelewa usisite kuniuliza

fuata maelekezo yafuatayo

1]ingia google kisha search steam
2]download steam kisha fanya registration
3]ukisha register utaingia hapo kwa steam store kisha utafanya manunuzi ya game la euro truck simulatol 2 kwa kiasi cha doller 4.99 tu NB hii ni bei ya kipindi cha offer.
4] kama bado hujaelewa usisite kuniuliza

[/QUOTE]

aya mzeee
 
Back
Top Bottom