Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

baada ya kupakua 1.47 napenda kusema game linazid kunoga sana wameongeza sehemu ya carrer
ets2_20230603_231923_00.png
ets2_20230603_233849_00.png
Screenshot (1).png


ets2_20230603_231923_00.png
 
ndugu wapendwa wa game la ets2 kutoka Tanzania hii ni taarifa kutoka Kwa mwandishi wa ramani ya project katashime.
ningelipenda kuutangazia umma ya kuwa. Kwa mala nyingine tena ile ramani iliyokuwa ukisubuliwa Kwa kipindi kirefu Kwa Sasa ishakamilika Kwa kiasi fulani na Iko tayali Kwa matumizi.

pia napenda kutoa shukrani za dhati Kwa woote mliokuwa mkinipea ushauli wa Nini kifanyike au Nini kiongezeke na kuifanya kazi iende vizuri hakika nawashuku sana.
hakika amani ni kubwa na Ina barabara ndefu sana na sinrahisi Kwa mtu kuanza safari na kuimaliza hapohapo
inasupport murtplayer na single player
pia inahitaji dlc za map ambazo ni
dlc Scandinavia
dlc going east
dlc France
dlc itary
dlc Iberia
dlc black sea
dlc Baltic sea
n.b ramani haiuzwi na itapatikana Bure kabisa kupitia website zote za kudownload mod.
na endapo ukipendezwa na hii kazi iliyofanyika unaweza kuchangia Kwa kiasi chochote Cha pesa ulichojaaliwa kupitia namba 0759016629 na mungu atakubaliki sana.[emoji1666]

Link ya map


Save game profile
Inasupport current version (1.47) au ni only 46...?
 
Kama Title ya thread inavyosema. Hii ni simple tutorial ya kuonesha jinsi gani utaweza kutumia modes mbali mbali katika game yako ya ETS 2.

Sometimes inafika stage kwenye hili game unakua kama umechoka zile barabara zake, magari yake, limitations pia katika kununua trucks hadi kufikia level fulani ambazo ni kubwa, lakini pia kuna maeneo mengi tu ambayo ungependa kudrive lakini kweny official maps hayo maeneo hakuna. Wengi wangependa ku drive maeneo yanayofananan na huku kwetu, yaani barabara za vumbi, kona zakutosha na milima iliyo shindikana.

[HASHTAG]#Baadhi[/HASHTAG] mods utazo enjoy #
1. Utaweza cheza game yako kweny region tofaut ambazo hazipo kweny official maps.
2. Pia utaweza ku pimp truck yako vile unavyopenda wewe...mfano kuongeza Horse power ya gar lako kuanzia 1000HP nakuendelea,Rims,tyre
3. Fast level and money
Hapa unaweza fika level za juu jus kwa haraka sana ndani ya trip kama tatu unaweza fika level kuanzia 16 na pia utakua na starting money kubwa sana na kila kitu kitakua unlocked
4. Trucks and Busses
Hapa utaweza weka mabus ndan ya euro truck traffics tena mabus ya kisasa kama marcopolo G7 na pia unaweza endesha.

Kwa upande wa trucks unaweza weka trucks za makampuni tofaut na yaliyo ndan ya euro truck..hapa unaweza kutana na Trucks kama KENWORTH,MAZ,KAMAZ na hata magar madogo haya.

Modes ni nyingi na hizi faida zinatoka ndan ya kila modes utayotaka wewe.

[HASHTAG]#Hasara[/HASHTAG] za mods#
Game ku crush... baadhi ya modes znakua zina matatizo na kufanya game kucrash, lakini pia kama game version na modes zikiwa tofaut basi game pia lita crush.

JINSI YA KU INSTALL MODS
hapa ndipo kweny kusudio la thread hii,na zifuatazo ni hatua za kuweka mods kweny hili game.

1. Download mod unayotaka hapa ETS 2 mods ukishamaliza basi extract mod yako Kweny folder la Documents/Euro Truck Simulator 2/mod folder. Kama utakua hauna folder la mod kama hapo juu basi sio kesi,wewe create new folder ndan ya folder la euro truck simulator 2 na rename ilo new folder kua "mode" kisha paste mod zako humo.

2. Run game ~> create new profile kisha kweny sehem ya mod manager fungua hapo na utakuta mods zako kisha Enable mod(s) and save changes.Done

NB. Baadhi ya modes za map utatakiwa kuchagua ile map yako kweny playing module..kisha ndio uendelee. Hizi huitwa standalone map.

*hakikisha mod yako iko compatible na game version uliyonayo,ni vizur kua na latest version ya game ambayo ni 1.27 hii itakufanya kua na mods nyingi mana developer wanakimbizana na version ya game.

*pia ni vizur kusoma comments za wadau kuhusu mods unayotaka kudownload, kuna modes huwa fake na hazifany kazi.. pia baadhi ya modes huwa zina maelezo special ya kuistall, vitu kama ku disable Dlc labda.
Hayo ni machache ya kuzingatia.

Links
Kuapata latest version ya euro truck V.36

[ETS2 1.36.2.2s(Road To Black Sea)]

Latest version 1.37. Download Euro Truck Simulator 2 (v1.37.1.0s + 71 DLCs, MULTi41) [FitGirl Repack] Torrent | 1337x

Latest 1.38 ETS2 1.38 + All Dlcs

Latest V 1.44


Link za mods

ETS 2 mods

Euro Truck Simulator 2 mods, ETS 2 mods

Euro Truck Simulator 2 Mods | ETS 2 Mods - Modhub.us

ETS 2 mods - Euro truck simulator 2 mods - ETS2MODS.LT

Map ambazo ni nzur kuzijaribu

Map Puno Peru v 1.5 « ETS 2 mods
Sio mbya ukianza na hii ina rough road za kama kwetu...map zingine nzuri ni
Southern region
Trucksim
Rusmap
Russian baikal
Mario map .
Tapatalk Cloud - Downlaoad File road-3_ModLandNet.jpg
Tapatalk Cloud - Downlaoad File 1492115157_eut2_hq_58ef37cf.png
Tapatalk Cloud - Downlaoad File ai-traffic-mod-for-ets-2-ver-1-21-2-1s_1.jpg
Tapatalk Cloud - Downlaoad File s-korea.jpg
1690711635907.png
wakuu naomba kupata ETS2 ambayo itakubali kucheza bila ya kuscratch kwenye hyo pc yenye specification hzo hapo
 
Kama Bado uko version 1.43 tumia hii link
Sababu hakuna mabadiliko yoyote kuanzia pale nilipositisha kuijenga hiyo ramani.
Wale mlioko 1.43 link yake hii hapa

Kaka nawezaje ku update game niko na version ya 1.18.3s nataka iwe na version ya sasa
 
Kaka nawezaje ku update game niko na version ya 1.18.3s nataka iwe na version ya sasa
Mzeiya kama game uliyoinstall ni cracked means haujainunua kutoka steam ... hauwezi kui-update kwenda version ya sasa.....inabidi udownload version mpya 1.48 ndio uinstall upya
 
Mashine yake itaweza himili 1.48 kwanza kabla hajapoteza MB zake
Dah huo nao ni msala mwingine .....mi lilinishinda nilikua napenda kuset high graphics ili nione details za dashboard na shadow za miti njiani ila nikagonga mwamba game inakua speed ya kobe....nikanyoosha mikono🙌 sina hamu nalo
 
Dah huo nao ni msala mwingine .....mi lilinishinda nilikua napenda kuset high graphics ili nione details za dashboard na shadow za miti njiani ila nikagonga mwamba game inakua speed ya kobe....nikanyoosha mikono[emoji119] sina hamu nalo
Ndo maana nikampa tahadhari mapema asije poteza Gb zake bure
 
Naona wana

Naona wanauza $19 na upuuzi unalipia vipi hizo dolali
1)Mwongozo wa kununua game through steam tulishautoa tangu hapo awali na si lazima ununue game Kwa dollar 19 Kuna kipindi Cha offer huwa tunanunua Kwa dollar 4.99tu

2)hii latest version (1.48)Kwa Hali ilivyo Kwa Sasa kama unafahamu mashine (computer) yako ina specifications ndogo kamwe huwezi kucheza na kufulahia game hii ni kutokana na mabadiliko ya graphics yaliyofanyika toka tulipoingia v 1.40 hadi Leo hii 1.48

3) njia za kulipata game ni lahisi sana tofauti na wengine wanavyodhani
(A) download game crack
Hapo unaingia kwenye website za kudownload game kama vile
www.ocean of game.com
www.piratebay.com
www.fitgirl.com
www.1337x.to
(B) nunua game kupitia steam
Nadhani wengi hatufahamu Wala hatuielewi steam na wengineo hawadahamu kabisaaa neno steam na si ajabu ikawa ni mala yako ya kwanza kuisikia steam
Kulingana na mabadiliko yaliyofanyika tangu uanzishwaji wa game hadi saa hii hawa jamaa waliamua kuingia ktk huu mfumo wa uuzaji wa game kupitia website ya steam
Sasa hii steam imebeba kila aina ya game na baadhi ya hizo game ndo hii euro truck simulator 2
Mfumo wa malipo ili uipate hii game si mgumu sana ni njia lahisi na yenye usalama sana na ukishalipia tu game yako itakuwa inapata kila aina ya update itskayofanyika na wamiliki wa game.
 
1)Mwongozo wa kununua game through steam tulishautoa tangu hapo awali na si lazima ununue game Kwa dollar 19 Kuna kipindi Cha offer huwa tunanunua Kwa dollar 4.99tu

2)hii latest version (1.48)Kwa Hali ilivyo Kwa Sasa kama unafahamu mashine (computer) yako ina specifications ndogo kamwe huwezi kucheza na kufulahia game hii ni kutokana na mabadiliko ya graphics yaliyofanyika toka tulipoingia v 1.40 hadi Leo hii 1.48

3) njia za kulipata game ni lahisi sana tofauti na wengine wanavyodhani
(A) download game crack
Hapo unaingia kwenye website za kudownload game kama vile
www.ocean of game.com
www.piratebay.com
www.fitgirl.com
www.1337x.to
(B) nunua game kupitia steam
Nadhani wengi hatufahamu Wala hatuielewi steam na wengineo hawadahamu kabisaaa neno steam na si ajabu ikawa ni mala yako ya kwanza kuisikia steam
Kulingana na mabadiliko yaliyofanyika tangu uanzishwaji wa game hadi saa hii hawa jamaa waliamua kuingia ktk huu mfumo wa uuzaji wa game kupitia website ya steam
Sasa hii steam imebeba kila aina ya game na baadhi ya hizo game ndo hii euro truck simulator 2
Mfumo wa malipo ili uipate hii game si mgumu sana ni njia lahisi na yenye usalama sana na ukishalipia tu game yako itakuwa inapata kila aina ya update itskayofanyika na wamiliki wa game.
nimejiunga steam kitambo kidgo becz of account ya world of trucks...Ila naona ni changamoto kidgo ku upload profile yang ya ETS na ATS online (cloud)...Unawez niambia nakwama ku upload kwasababu natumia cracks au ni configurations tuu za network ya PC ninayoitumia etc...Msaada tafadhali
 
Back
Top Bottom