Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

msaada link ya kudownload euro truck game latest version
 
Rudi kwenye kurasa namba 234 kunalink hii kapakue v1.50
Screenshot_20240524-113557.jpg
 
Msaada wa ETS2 v1. 43
Nilipiga window upya baada ya window ya zamani iliyokua na hilo game kucrash. Disk ya game na window zilikua tofauti ila saiv nikitaka kucheza game halifunguki shida nini wakuu.
Wakujilipua ,Mechanical
 
Ume update drivers kweli hiyo window ya sasa mkuu? kama bado jaribu hiyo option kwanza, maana uenda kukawa kuna vitu vina lack ili game li run.
 
Ngoja nifanye ivi nitatoa mrejesho
 
Ume update drivers kweli hiyo window ya sasa mkuu? kama bado jaribu hiyo option kwanza, maana uenda kukawa kuna vitu vina lack ili game li run.
Nimefanikiwa baada ya kuupdate driver linacheza.
Shukrani boss
 
Nisaidie link nidownload
Sema kama mtu unajimudu vizuri kiuchumi,ni bora ununue mzigo moja kwa moja from steam then uwe una update kila wanapotoa new version...hizi mambo za kudownload kila version mpya ikitoka unajikuta unajaza masetup tuu na matumiz mabaya ya GB's\MB's...😄 wazo tuu lakini🙌🏼
 
Hatari😬
 
Nawezaje kupata namba ya nje ya simu ya USA, Canada au German? Nasikia kuna app unapata pata bure au kununua.mwenye ufahamu wa hili anisaidie
 
Back
Top Bottom