Wakujilipua
JF-Expert Member
- May 5, 2018
- 1,584
- 1,393
Link ya map ya ETS 2 version 1.43 hii hapaBoss naomba mod ya 1.43 Kama unayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Link ya map ya ETS 2 version 1.43 hii hapaBoss naomba mod ya 1.43 Kama unayo
Pamoja sana bossLink ya map ya ETS 2 version 1.43 hii hapa
Nisaidie link nidownloadNani mwingine anacheza v1.50
Rudi kwenye kurasa namba 234 kunalink hii kapakue v1.50msaada link ya kudownload euro truck game latest version
Ume update drivers kweli hiyo window ya sasa mkuu? kama bado jaribu hiyo option kwanza, maana uenda kukawa kuna vitu vina lack ili game li run.Msaada wa ETS2 v1. 43
Nilipiga window upya baada ya window ya zamani iliyokua na hilo game kucrash. Disk ya game na window zilikua tofauti ila saiv nikitaka kucheza game halifunguki shida nini wakuu.
Wakujilipua ,Mechanical
Ngoja nifanye ivi nitatoa mrejeshoUme update drivers kweli hiyo window ya sasa mkuu? kama bado jaribu hiyo option kwanza, maana uenda kukawa kuna vitu vina lack ili game li run.
Nimefanikiwa baada ya kuupdate driver linacheza.Ume update drivers kweli hiyo window ya sasa mkuu? kama bado jaribu hiyo option kwanza, maana uenda kukawa kuna vitu vina lack ili game li run.
Sawa karibu boss.Nimefanikiwa baada ya kuupdate driver linacheza.
Shukrani boss
Ets2.ltWakuu naombeni mod ya map ets v 1.38
Sema kama mtu unajimudu vizuri kiuchumi,ni bora ununue mzigo moja kwa moja from steam then uwe una update kila wanapotoa new version...hizi mambo za kudownload kila version mpya ikitoka unajikuta unajaza masetup tuu na matumiz mabaya ya GB's\MB's...😄 wazo tuu lakini🙌🏼Nisaidie link nidownload
Hatari😬Sema kama mtu unajimudu vizuri kiuchumi,ni bora ununue mzigo moja kwa moja from steam then uwe una update kila wanapotoa new version...hizi mambo za kudownload kila version mpya ikitoka unajikuta unajaza masetup tuu na matumiz mabaya ya GB's\MB's...😄 wazo tuu lakini🙌🏼