Fahamu jinsi ya kutengeneza ndege ya kichawi, kwenda kokote Duniani

Aisee
 
Kuna profesa alisomea uchawi, anaweza kupaa live mbele za watu.
 
Kuna profesa alisomea uchawi, anaweza kupaa live mbele za watu
 
Miongoni mwa vifaa vinavyotumika kukusanyia pesa za wachawi ni 'Kambuma' (pembe ya Paa), ambayo hutumiwa kuiba pesa kutoka kwa watu. Pesa za kichawi hazitumiki uraiani.
 
Inategemea ni aina gani ya uchawi, hao wengi wanao uchawi wa kujilinda
Fananua kidogo.

Kama ni hivyo mbona uswahilini pia wachawi wapo wanao wa kujilinda ila kutwa utasikia mama fulani ni mchawi amemfanyia uchawi mtoto wa mama fulani.

Maana yake ni kuwa walishajua ni mchawi sababu wanayo namna ya kujua wachawi na wengine wanasema walimkamata maybe usiku bibi fulani akiruka.

Lakini hayo huyakuti Oysterbay.?
 
1) Ni nini tofauti ya mchawi na mwanga?

Maswali mengone baadae, nisiyajaze sehemu moja.
Mchawi ana dhuru na kuleta maafa kwa mtu, Mwanga hadhuru yeye hujifurahisha tu kuwachezea watu basi lakini hadhuru. Mtu anayeaminika kuwa na uwezo wa kuwaletea watu maafa kwa kutumia ushirikina huyo ndio mchwi. , Mwanga yeye anawangia watu, kuwanga ni kusambira (kuwanga kwa kuzunguka moto), ni michezo ya kichawi kwa kujifurahisha tu. Sio kila Mwanga ni Mchawi, lakini kila mchawi lazima awe mwanga.
 
Hizo huwa ni hisia ambazo hazina ukweli, kumkamata mchawi akiwa ana wanga sio jambo lepesi udhaniavyo utakufa unajiona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…