Sabuni African blacksoap or maakari shower gel
🙌🙌Sabuni African blacksoap or maakari shower gel
Mafuta huwa napaka ya Nazi(yasiyopikwa) vilevile natumia snail repairing cream
Usoni napakaa serum Aina mbili ya snail golden au yenye argan +vitamin E oil
Scrub natumia yenye kahawa mdalasini na kungumanga or yenye mchanganyiko wa mchele oats na asali
Pia huwa natumia cleanser walau Mara 1 kwa week na toner pia.
Mask natumia clay yenye matcha/spirulina(inategemea siku hiyo najisikia kutumia ipi)
Mnywaji mzuri wa maji mengi na juice carrot
[emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wenye ngozi kavu
Nimetumia hayo ya nazi, vaseline, cocoa butter lemon ya American dream lakini sijawahi kuona matokeo mazuri zaidi ya uso kupoteza nuru.
Msaada tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app
American dream na queen Elizabeth changanya na serum yeyote ukipaka hivihivi unaona kufubaaNikitumia sioni mabadiliko mazuri, kama yananikataa hivi. Hayo ya American dream nilijikaza kama wiki 2 nione kama uso utazoea lakini ukagoma, zaidi nilipata vile vipele vidogo vidogo vya baridi.
Si umtaje hapahapa dear kwa manufaa ya wengineKama uko Dar nikuelekeze kwa mtu mwenye duka la cosmetics alinisaidia sana. Nilikuwa na uso usio na shukran, amenipa losheni nzuri, unamwambia tatizo lako anakuchagulia losheni /body cream anayoona itakufaa kulingana na shida yako, nimekuwa soft sana, mpaka watu wananiuliza napaka nini... Amewasaidia pia rafiki zangu na wameona matokeo mazuri.
Kama uko mkoani anakusudia pia, kama ni bidhaa anakutumia kwa bus.
Ukiwa tayari nipm nikupe contacts zake
Hivi snail repairing cream ni nzuri eenhSabuni African blacksoap or maakari shower gel
Mafuta huwa napaka ya Nazi(yasiyopikwa) vilevile natumia snail repairing cream
Usoni napakaa serum Aina mbili ya snail golden au yenye argan +vitamin E oil
Scrub natumia yenye kahawa mdalasini na kungumanga or yenye mchanganyiko wa mchele oats na asali
Pia huwa natumia cleanser walau Mara 1 kwa week na toner pia.
Mask natumia clay yenye matcha/spirulina(inategemea siku hiyo najisikia kutumia ipi)
Mnywaji mzuri wa maji mengi na juice carrot
[emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna serum inaitwa (aha) ni nzuri??? Mwenye uzoefu na hii serum tujuzaneAmerican dream na queen Elizabeth changanya na serum yeyote ukipaka hivihivi unaona kufubaa
Kweli usemayo kuhusu clinic clearnilikua napaka parachute mwili mzima nlikuwa na rangi yangu nzuri tu nkahamia kwenye botour nikawa mweupe nikaiacha nkapaka american dream promo nyingii ila ya kawaida labd haikunipenda ila niliona ya kawiada sana rafk ang mmoja akanishaur kupaka clinik clear nachangya na glycel ya kopo lile la njano nkamuona huyu shoga vp kwa nn asipake yeye akasema wenye ngz kam yang maji ya kunde ndo inawapendeza sana kaona watu km 3 ofsn kwao wametumia wana rangi nzur mnooo nkabisha akaninunulia mwenyew gharama yake ni kama elf 10 tu nkachkua nkaanza kupaka ivo ivo yan uku naogpa san mara rangi inanoga aisee nimekuwa mzur rangi ya chocolote sas iv nimeshtmia km kopo 3 😀 alf very cheap
Hiyo clinik clear ni serum??nilikua napaka parachute mwili mzima nlikuwa na rangi yangu nzuri tu nkahamia kwenye botour nikawa mweupe nikaiacha nkapaka american dream promo nyingii ila ya kawaida labd haikunipenda ila niliona ya kawiada sana rafk ang mmoja akanishaur kupaka clinik clear nachangya na glycel ya kopo lile la njano nkamuona huyu shoga vp kwa nn asipake yeye akasema wenye ngz kam yang maji ya kunde ndo inawapendeza sana kaona watu km 3 ofsn kwao wametumia wana rangi nzur mnooo nkabisha akaninunulia mwenyew gharama yake ni kama elf 10 tu nkachkua nkaanza kupaka ivo ivo yan uku naogpa san mara rangi inanoga aisee nimekuwa mzur rangi ya chocolote sas iv nimeshtmia km kopo 3 😀 alf very cheap
American dream mpaka uchanganye na serumnilikua napaka parachute mwili mzima nlikuwa na rangi yangu nzuri tu nkahamia kwenye botour nikawa mweupe nikaiacha nkapaka american dream promo nyingii ila ya kawaida labd haikunipenda ila niliona ya kawiada sana rafk ang mmoja akanishaur kupaka clinik clear nachangya na glycel ya kopo lile la njano nkamuona huyu shoga vp kwa nn asipake yeye akasema wenye ngz kam yang maji ya kunde ndo inawapendeza sana kaona watu km 3 ofsn kwao wametumia wana rangi nzur mnooo nkabisha akaninunulia mwenyew gharama yake ni kama elf 10 tu nkachkua nkaanza kupaka ivo ivo yan uku naogpa san mara rangi inanoga aisee nimekuwa mzur rangi ya chocolote sas iv nimeshtmia km kopo 3 😀 alf very cheap
Aha nahisi kwangu hainipendiKuna serum inaitwa (aha) ni nzuri??? Mwenye uzoefu na hii serum tujuzane
Or serum yoyote nzuri tujuzane
Yan haya Mambo ya ngozi mpk umepata the best kwenye ngonzi umeangaika hatari hasa sisi wenye ngozi za mafutaAha nahisi kwangu hainipendi
Yaani wewe mimi kabisa na ngozi yangu ya mafuta ndio maana nimetulia kwenye boutour naona kidogo imeupenda uso wanguYan haya Mambo ya ngozi mpk umepata the best kwenye ngonzi umeangaika hatari hasa sisi wenye ngozi za mafuta
Nisaidie mawasiliano yakeMwanzoni nilikuwa napata tabu chunusi ndio ugonjwa wangu, Kuna mmama nilikutana naye akanisidia sielew kitu gani kile ila anadai anachanganya mayai, kitunguu na asali na paka mwili mzima jamani nimekuwa laini mpaka najitamani chunusi , kwarara zote hamna. Sabuni natumia ya jorjous .