Queen Priya
Senior Member
- Jul 15, 2018
- 100
- 97
Wenye ngozi kavu
Nimetumia hayo ya nazi, vaseline, cocoa butter lemon ya American dream lakini sijawahi kuona matokeo mazuri zaidi ya uso kupoteza nuru.
Msaada tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mafuta ya nazi yapiMwilini napaka mafuta ya nazi, usoni napaka lotion na nina rangi moja mwili mzima. Nikiwaambia watu ninachopaka hawaamini maana nina rangi nzuri mwilini (sijisifii) mpaka najionea wivu.
Sabuni mie yoyote tu.
Sio mtu mwenye hekaheka na mwili wangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzi umevamiwa na mabahariaMwili mzima?
Aisee kidume hatakiwi kupaka mafuta kwny kalio arifu.
Kwahiyo huo mchanganyiko hauharibiki? Yai hili hili? Shombo vp?Mwanzoni nilikuwa napata tabu chunusi ndio ugonjwa wangu, Kuna mmama nilikutana naye akanisidia sielew kitu gani kile ila anadai anachanganya mayai, kitunguu na asali na paka mwili mzima jamani nimekuwa laini mpaka najitamani chunusi , kwarara zote hamna. Sabuni natumia ya jorjous .
Haina harufu kabisa ya yai si unajua ujasiriamali mtu kukupa ukweli ni ngumu kwahiyo Mimi kwakuwa inanipenda simuhoji Sana.
Kumbe.American dream mpaka uchanganye na serum
mara ya kwanza niliidharau sanaaa
ni lotion sio serumHiyo clinik clear ni serum??
Dada yangu anaitumia hiyo hua anachanganya na serum yake..ana ngozi tamuu balaa.mara ya kwanza niliidharau sanaaa
kumbe ina serum yake sikujuaDada yangu anaitumia hiyo hua anachanganya na serum yake..ana ngozi tamuu balaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inasemekana Wazungu wanasaidia sana. Try itMi naombeni dawa ya kuzuia pores usoni.
Ya aina gani?Hakuna siri ni mafuta ya nazi jamani! Unateleza had raha!..
πππ
Naomba namba ya huyo mama (PM) nimsaidie mtu wangu mmojaMwanzoni nilikuwa napata tabu chunusi ndio ugonjwa wangu, Kuna mmama nilikutana naye akanisidia sielew kitu gani kile ila anadai anachanganya mayai, kitunguu na asali na paka mwili mzima jamani nimekuwa laini mpaka najitamani chunusi , kwarara zote hamna. Sabuni natumia ya jorjous .
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ya aina gani?