Fahamu jinsi ya kutunza ngozi, iwe yenye afya na inayovutia zaidi

Tumieni tu mafuta, lakin ukienda barbershop baada ya kunyoa utawaskia wale "We kaka tufanye scrub, uso wako unaoneka umejawa na harara na chunus"

[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sijui nikuige[emoji2]
 
Yaani wewe mimi kabisa na ngozi yangu ya mafuta ndio maana nimetulia kwenye boutour naona kidogo imeupenda uso wangu

Tupo pamoja kwenye boutoer sema nilikua napaka hadi mwilini now nimeacha napaka usoni tu.

Mwilini Queen Elizabeth nimechanganya na serum ya American dream karangi kamezidi kuwa kataamu
 
Tupo pamoja kwenye boutoer sema nilikua napaka hadi mwilini now nimeacha napaka usoni tu.

Mwilini Queen Elizabeth nimechanganya na serum ya American dream karangi kamezidi kuwa kataamu
Dear ulikua unapaka mpaka mwilini [emoji1787] si hata week haijamaliza
 
napaka alovera jelly
baada ya nusu saa naondoa na maji
kama nipo nyumbani napaka mafuta ya nazi
kama natoka napaka lotion ya rinju ambaye ina mchanganyiko wa shea butter
ngozi inakuwa ya kung'aa inavutia na kupendeza
 
Huenda tatizo lako na lako ni tofauti, mimi alinipa Botour pamoja na Palmer's skin therapy oil, ambayo sijui kama kwako ita work kwa tatizo ulilonalo.
Botouer ilikuwa nzuri sana sana ..ila sasa hivi ziko fake nyingi sn au la mzalishaji kashusha kiwango. For me was good..natoka wamechakachua niko njia panda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…