Fahamu jinsi ya kutunza ngozi, iwe yenye afya na inayovutia zaidi

Fahamu jinsi ya kutunza ngozi, iwe yenye afya na inayovutia zaidi

Mwanzoni nilikuwa napata tabu chunusi ndio ugonjwa wangu, Kuna mmama nilikutana naye akanisidia sielew kitu gani kile ila anadai anachanganya mayai, kitunguu na asali na paka mwili mzima jamani nimekuwa laini mpaka najitamani chunusi , kwarara zote hamna. Sabuni natumia ya jorjous .
Asee...nimetikisika hapa!! kusikia umekua mlainiii..
 
Mwilini napaka mafuta ya nazi, usoni napaka lotion na nina rangi moja mwili mzima. Nikiwaambia watu ninachopaka hawaamini maana nina rangi nzuri mwilini (sijisifii) mpaka najionea wivu.
Sabuni mie yoyote tu.
Sio mtu mwenye hekaheka na mwili wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mashallah wewe binti!!
 
Mwilini napaka mafuta ya nazi, usoni napaka lotion na nina rangi moja mwili mzima. Nikiwaambia watu ninachopaka hawaamini maana nina rangi nzuri mwilini (sijisifii) mpaka najionea wivu.
Sabuni mie yoyote tu.
Sio mtu mwenye hekaheka na mwili wangu

Sent using Jamii Forums mobile app

Kila kitu rangi moja enhee[emoji16][emoji16] Mimi sipaki chochote Ndio maana rangi zinatofautiana kumbe[emoji14][emoji14][emoji14]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata nipake chochote au niogee sabuni yoyote ngozi yangu haina makuu watu wananiulizaga unapaka mafuta gani usoni
Nikiwaambia yoyote awaamini
Uso sio wa kuusiriba milotion sijui ya kungarisha mwisho wa siku uso unaharibika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wametoa Serum yao aisee ukichanganya hata na Queen Elizabeth ukapaka mwilini ni balaa.

Jamani mimi sjui nitumie natumia chandlin lakin wapi uso wangu una mafuta lakin mara kitoke hiki mara kipone kitoke hiki hivi hakuna lotion nzuri ya kupaka uso ukawa soft tu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama uko Dar nikuelekeze kwa mtu mwenye duka la cosmetics alinisaidia sana. Nilikuwa na uso usio na shukran, amenipa losheni nzuri, unamwambia tatizo lako anakuchagulia losheni /body cream anayoona itakufaa kulingana na shida yako, nimekuwa soft sana, mpaka watu wananiuliza napaka nini... Amewasaidia pia rafiki zangu na wameona matokeo mazuri.

Kama uko mkoani anakusudia pia, kama ni bidhaa anakutumia kwa bus.

Ukiwa tayari nipm nikupe contacts zake

Nipe nami namba zake tafadhali


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom