Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,461
- 4,138
nitumie mafuta gani.nataka kunga'aa aisee lotion gani nzuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nitumie mafuta gani.nataka kunga'aa aisee lotion gani nzuri
nitumie mafuta gani.nataka kunga'aa aisee lotion gani nzuri
Yes aisee ipi lotion nzuriMhhh!
Mwilini napaka mafuta ya nazi, usoni napaka lotion na nina rangi moja mwili mzima. Nikiwaambia watu ninachopaka hawaamini maana nina rangi nzuri mwilini (sijisifii) mpaka najionea wivu.
Sabuni mie yoyote tu.
Sio mtu mwenye hekaheka na mwili wangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Serum gan ni nzur na bei yake ipoje??Serum inachangamsha kwenye lotion ngozi inazidi kuwa nzuri
Inategemea na serum dear na kila serum ina bei yakeSerum gan ni nzur na bei yake ipoje??
Naomba kukuona!Naamini kunywa sana maji kunanisaidia urembo wangu na mafuta ya nazi.
Asee...nimetikisika hapa!! kusikia umekua mlainiii..Mwanzoni nilikuwa napata tabu chunusi ndio ugonjwa wangu, Kuna mmama nilikutana naye akanisidia sielew kitu gani kile ila anadai anachanganya mayai, kitunguu na asali na paka mwili mzima jamani nimekuwa laini mpaka najitamani chunusi , kwarara zote hamna. Sabuni natumia ya jorjous .
Mashallah wewe binti!!Mwilini napaka mafuta ya nazi, usoni napaka lotion na nina rangi moja mwili mzima. Nikiwaambia watu ninachopaka hawaamini maana nina rangi nzuri mwilini (sijisifii) mpaka najionea wivu.
Sabuni mie yoyote tu.
Sio mtu mwenye hekaheka na mwili wangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuuNaomba kukuona!!
Mwilini napaka mafuta ya nazi, usoni napaka lotion na nina rangi moja mwili mzima. Nikiwaambia watu ninachopaka hawaamini maana nina rangi nzuri mwilini (sijisifii) mpaka najionea wivu.
Sabuni mie yoyote tu.
Sio mtu mwenye hekaheka na mwili wangu
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂
Wametoa Serum yao aisee ukichanganya hata na Queen Elizabeth ukapaka mwilini ni balaa.
Jamani mimi sjui nitumie natumia chandlin lakin wapi uso wangu una mafuta lakin mara kitoke hiki mara kipone kitoke hiki hivi hakuna lotion nzuri ya kupaka uso ukawa soft tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama uko Dar nikuelekeze kwa mtu mwenye duka la cosmetics alinisaidia sana. Nilikuwa na uso usio na shukran, amenipa losheni nzuri, unamwambia tatizo lako anakuchagulia losheni /body cream anayoona itakufaa kulingana na shida yako, nimekuwa soft sana, mpaka watu wananiuliza napaka nini... Amewasaidia pia rafiki zangu na wameona matokeo mazuri.
Kama uko mkoani anakusudia pia, kama ni bidhaa anakutumia kwa bus.
Ukiwa tayari nipm nikupe contacts zake
American dream na queen Elizabeth changanya na serum yeyote ukipaka hivihivi unaona kufubaa