Fahamu jinsi ya kutunza ngozi, iwe yenye afya na inayovutia zaidi

Fahamu jinsi ya kutunza ngozi, iwe yenye afya na inayovutia zaidi

Ilipaswa uanze wewe kutuoneshea mfano.

Me natumia palmers cocoa butter lotion, sabuni naogea dettol, kuhusu rangi ni ngumu kuwa na rangi moja mwili mzima
Hembu tueleze Madam Depal wewe unazo rangi ngapi kuu mwilini mwako?
 
Weka hapa hata IG yake
Huwa situmii IG, hivyo sijui hata kama ana account huko. Kwake nilielekezwa na mdogo wangu ambaye ni jirani yake kibiashara. Nina namba zake za simu tu ambazo siwezi kuziweka public. Mtu akihitaji huwa Nampa wanawasiliana wenyewe huko
 
Kabisa, kama ye alisaidiwa kuoneshwa duka basi aweke hapa namba za muuzaji mambo ya kufatana PM ya nini!!

Yan ndio kama wale wa Instagram anaweka bidhaa haweki bei, ukivutiwa ukamuuliza bei anakupa linamba umfate What's app' nikishaonaga hivi naweka walakini na bidhaa zako baki nazo
Dear...

Siwezi kuweka namba ya mtu public bila ridhaa yake.

Hata hivyo una hiyari, sijalazimisha.

Asante.
 
Hata ungekuwa ni wewe mpendwa lazim uone walakini....yan mfanyabiashara tena namba unaogopa kuweka public?!!
 
Hata ungekuwa ni wewe mpendwa lazim uone walakini....yan mfanyabiashara tena namba unaogopa kuweka public?!!
Mwenye biashara sio mimi dear, ni mtu ambaye nami nimemfahamu kupitia kwa mtu,naweza niweke namba lakini huwezi jua watu wataitumiaje, Jf ina users wengi wenye intentions tofauti,nisije kumpa shida kaka wa watu. Sina hata maslahi kwenye biashara yake useme watu waje pm niwapige hela... Ilikuwa tu ni koneksheni wengine pia wasaidike.

Hata hivyo hujakosea kuweka doubt, tahadhari ni muhimu.

Uwe na usiku mwema.
 
Ni Nivea cool kick, mafuta ya nywele ambayo sina specifics na deo kwenda mbele
 
Natumia mafuta mgando asili ya asali
ngozi.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mtaalamu wa mascrub kama mie.
Yaani leo asali, keshokutwa nyanya, mtondogoo dengu na maziwa, keshokutwa mafuta ya nazi mixer sukari,mara viazi ulaya.
Yaani nikikaa tu home sina kazi ninawaza scrub kujisugua mwili.
Halafu nakuwa naenjoy mwili unateleza hatari nakuwa msafiiiii
Mafuta natumia minara au parachute au ile ya minazi mirefu.
 
Lotion Queen Elizabeth na nna sunscreen nnayopaka juu yake
Napaka mwili mzima inasaidia kuwa na even tone

Facial na scrub walau mara moja kwa mwezi matokeo si mabaya ngozi mtelezoo

mazoezi,lishe nk
 
Back
Top Bottom