Fahamu jinsi ya kuwasiliana na Viziwi kwa njia ya Alama

Fahamu jinsi ya kuwasiliana na Viziwi kwa njia ya Alama

Habar wakuu?? Naomba kuuliza hv kuna watu wanataka kujifunza lugha ya alama?? Maana kuna mafunzo yataanza kutolewa.
Tangazo ni hili.
*************************

Habari za wakati huu.


Mafunzo yetu ya Lugh ya Alama ya Tanzania yataanza kesho kutwa. Tarehe 22 Oktoba 2024.

Saa 4:50 asubuhi Mkurugenzi wa Taasisi ya Teknolojia za Elimu na Menejimenti atatufungulia mafunzo.

Karibuni sana Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT)
Kwa wale wanaotaka kujifunza lugha hio nijuzeni.
 
Back
Top Bottom