BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Kwa mujibu wa Katiba ya Kenya, baada tu ya Uchaguzi Mkuu wa Agosti 9, 2022 Rais alipoteza;
Mamlaka ya kuteua Majaji wa Mahakama Kuu, kuteua Afisa yeyote wa Umma, kuteua au kumfukuza kazi Katibu wa Baraza la Mawaziri, Katibu Mkuu na Maafisa wengine wa Serikali.
Kwasasa hawezi kutumia Mamlaka ya kuteua au kumfukuza Kamishna Mkuu, Balozi, au Mwakilishi wa Kidiplomasia au Ubalozi.
Katiba pia inamnyima Rais anayemaliza muda wake uwezo wa matendo ya huruma na hivyo, hawezi kuwasamehe Wafungwa.
Katiba pia imepunguza Mamlaka ya Rais kutoa Heshima popote kwa jina au niaba ya Wananchi au Jamhuri ya Kenya.