Fatality rate mbona kama ipo chini sana tofauti na panic ya watu mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
huyu jamaa anajua athari za kupost picha na majina ya mgonjwa kweli? au ndo kutafuta umaarufu mtandaoni
Huu ugonjwa umeleta taharuki Dunia nzima waathirika wakubwa ni watu weupe
Pamoja na kutuita matusi yote wamepiga Mark time
Wanatuambia sisi nyani lakini kwa Corona wamepiga magoti
Dhambi za mwanadamu ndizo cha haya ushoga ni mojawapo yachukizo kubwa la mwenyezi Mungu