Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

NEWS ALERT: Idris Elba, nyota wa filamu nchini Uingereza, ametangaza kuwa na maambukizi ya COVID-19.

Amesema kuwa hana dalili zozote za COVID-19 na kwa sasa yungali karantini binafsi.
 
troublemaker, post: 34682711, member: 294185"]Kifuatacho ni economic depression.[/QUOTE]

Namuona Trump hapa anasema US economy may be headed towards recession

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Ugonjwa unazidi kusambaa
Screenshot_20200316-232138.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Corona virus pandemic.

Italy [emoji634]

- 27 980 infected.
- 2 158 dead.
- 7.7% death rate.

Spain [emoji633]

- 9 940 infected.
- 342 dead.
- 3.4% death rate.

France [emoji632]

- 6 633 infected.
- 148 dead.
- 2.2% death rate.

USA [emoji631]

- 4 348 infected.
- 73 dead.
- 1.7% death rate.

Horrible [emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ugonjwa umeleta taharuki Dunia nzima waathirika wakubwa ni watu weupe

Pamoja na kutuita matusi yote wamepiga Mark time

Wanatuambia sisi nyani lakini kwa Corona wamepiga magoti

Dhambi za mwanadamu ndizo cha haya ushoga ni mojawapo yachukizo kubwa la mwenyezi Mungu

Nyani mwenyewe usiingize wengine
 
Mwanangu umeandika rubbish to thr maximum.

Back
Top Bottom