Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

mimi niko kwenye 0.2

hakuna namna ugonjwa utaua watu mil huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natamani jamaa akuelewe ila atajitoa ufahamu

Sent using My COVID-19
 
mimi niko kwenye 0.2

hakuna namna ugonjwa utaua watu mil huu

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndio ugonjwa mpya na haujulikani na hauna dawa wala chanjo. We hope kwamba hapo baadae watagundua Chanjo na dawa ya kuslow down maambukizi.

Lakini wewe kusema kwamba huu ugonjwa hauwezi kuua mamilioni ni hisia zaidi. Mafua ya kawaida au seasonal flu kwa Marekani huwa yanaua watu 40000 hadi 100000. Hii Corona ni 20 times hiyo seasonal flu kwa number of deaths mpaka sasa hivi.

Lolote linaweza tokea, tuombe Mungu na tujitahidi kuwaprotect wale walioko kwenye hatari zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumezoe kupata statement toka Chadema na Maaskofu kunapotekea matukio ya watu kukamatwa na police au kutekwa. Cha ajabu kwenye hili swala la kufa na kupona kwa Watanzania wote wamekaa kimya kulikoni?
 
Tumezoe kupata statement toka Chadema na Maaskofu kunapotekea matukio ya watu kukamatwa na police au kutekwa. Cha ajabu kwenye hili swala la kufa na kupona kwa Watanzania wote wamekaa kimya kulikoni?????
Kwani ili linahusiana na watu kunyanyaswa au kunyimwa haki
 
Tumezoe kupata statement toka Chadema na Maaskofu kunapotekea matukio ya watu kukamatwa na police au kutekwa. Cha ajabu kwenye hili swala la kufa na kupona kwa Watanzania wote wamekaa kimya kulikoni?????
Makinasani linaongelewa sana tu. We hudhuria misa utasikia
 
yaan virus ambae watu wanaougua karibia nusu yake wanapona bila matibabu rasmi, mnakomalia eti ni tatizo kubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makinasani linaongelewa sana tu. We hudhuria misa utasikia
Tunataka kuona waraka kuhusu corana, Maasakofu wametukuwa na utaraatibu wa kutoa wakara kwa watu wote pindi litokeapo tukio kubwa lenye muonekano wa kisiasa. Huu ukimya sio kawaida, nii inaonesha wazi kuwa huwa viongozi wako bias.
 
Nennda kasome Uzi wa Elli jinsi Bunge renu vile lilikatilia hoja ya Msigwa, msiweage vuchaa
Tumezoe kupata statement toka Chadema na Maaskofu kunapotekea matukio ya watu kukamatwa na police au kutekwa.

Cha ajabu kwenye hili swala la kufa na kupona kwa Watanzania wote wamekaa kimya kulikoni?
Sread closed. Mmeshajuaga kuwa Chademaa wana akiri kuriko nyie??

Don't make a promise you can't fulfill...
 
Achaga ukichaa weeeee nasikiriza Upendo FM wanazungumzia Korono, djana nirikua nasikiliza Safina Radio ya Arusha kurikua na maombi kabisa tukasjiliki sasa wewee huo uongo unaotoaga wapi?
Tunataka kuona waraka kuhusu corana, Maasakofu wametukuwa na utaraatibu wa kutoa wakara kwa watu wote pindi litokeapo tukio kubwa lenye muonekano wa kisiasa. Huu ukimya sio kawaida, nii inaonesha wazi kuwa huwa viongozi wako bias.

Don't make a promise you can't fulfill...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…