Airmanula
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 3,527
- 5,762
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DohNEWS ALERT: Iran frees 85,000 prisoners to combat spread of COVID-19
Iran has temporarily freed about 85,000 prisoners in an effort to combat the spread of coronavirus, a judiciary spokesman in the country has said. [Sky News]
mimi niko kwenye 0.2Unajua 2% ya watu million 20 ni ngapi ?
Au Let’s say kwa Marekani walikuwa na projections za watu million 160 hadi million 200+ kupata maambukizi ( kabla hawajaanza interventions zao) , na Kati ya hao walikuwa wanaestimate watu laki 2 mpaka million 1.4 kufariki. Hapo utasema ni ugonjwa wa kawaida ?
Vilevile, ukiwa ndani ya hiyo 2% kwako ni 100%.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupe UkweliKuna uwezekano mkubwa sana China alikuwa anadanganya namba za maambukizi na vifo....
Fatilia Italy utaona curve yake Italy hadi kufikia Tuesday atampita China kwa Vifo vingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Natamani jamaa akuelewe ila atajitoa ufahamuItaly kurecord vifo vingi kuliko China.
Haimanishi moja kwa moja kwamba China anadannganya.
Vifo vingi vinaweza kutokana na health system kuzidiwa na idadi ya wagonjwa.
Sio siri Italy wamezidiwa sio wataalamu wa afya tuu hata vifaa(ndio maana utaona China wamepeleka wataalamu pamoja na vifaa vya matibabu italy).
Yaani wagonjwa wanakuwa wengi, inafika wakati madaktari wanaamua nani ahudumiwe nani aachwe akipambana na afya yake.
Beggars can't be choosers
umeingia kanisani Jumapili??Tumezoe kupata statement toka Chadema na Maaskofu kunapotekea matukio ya watu kukamatwa na police au kutekwa. Cha ajabu kwenye hili swala la kufa na kupona kwa Watanzania wote wamekaa kimya kulikoni?????
Kwani ili linahusiana na watu kunyanyaswa au kunyimwa hakiTumezoe kupata statement toka Chadema na Maaskofu kunapotekea matukio ya watu kukamatwa na police au kutekwa. Cha ajabu kwenye hili swala la kufa na kupona kwa Watanzania wote wamekaa kimya kulikoni?????
Makinasani linaongelewa sana tu. We hudhuria misa utasikiaTumezoe kupata statement toka Chadema na Maaskofu kunapotekea matukio ya watu kukamatwa na police au kutekwa. Cha ajabu kwenye hili swala la kufa na kupona kwa Watanzania wote wamekaa kimya kulikoni?????
technicallyChadema walikuwa wanasubiria kwa hamu Korona, imefika wanashangilia na wafuasi wao, nenda pale ufipa utawakuta wakifanya sherehe.
yaan virus ambae watu wanaougua karibia nusu yake wanapona bila matibabu rasmi, mnakomalia eti ni tatizo kubwa.Tumezoe kupata statement toka Chadema na Maaskofu kunapotekea matukio ya watu kukamatwa na police au kutekwa. Cha ajabu kwenye hili swala la kufa na kupona kwa Watanzania wote wamekaa kimya kulikoni?????
Tunataka kuona waraka kuhusu corana, Maasakofu wametukuwa na utaraatibu wa kutoa wakara kwa watu wote pindi litokeapo tukio kubwa lenye muonekano wa kisiasa. Huu ukimya sio kawaida, nii inaonesha wazi kuwa huwa viongozi wako bias.Makinasani linaongelewa sana tu. We hudhuria misa utasikia
Achaga unaaa.Chadema walikuwa wanasubiria kwa hamu Korona, imefika wanashangilia na wafuasi wao, nenda pale ufipa utawakuta wakifanya sherehe.
Sread closed. Mmeshajuaga kuwa Chademaa wana akiri kuriko nyie??Tumezoe kupata statement toka Chadema na Maaskofu kunapotekea matukio ya watu kukamatwa na police au kutekwa.
Cha ajabu kwenye hili swala la kufa na kupona kwa Watanzania wote wamekaa kimya kulikoni?
Tumezoe kupata statement toka Chadema na Maaskofu kunapotekea matukio ya watu kukamatwa na police au kutekwa. Cha ajabu kwenye hili swala la kufa na kupona kwa Watanzania wote wamekaa kimya kulikoni?????
Tunataka kuona waraka kuhusu corana, Maasakofu wametukuwa na utaraatibu wa kutoa wakara kwa watu wote pindi litokeapo tukio kubwa lenye muonekano wa kisiasa. Huu ukimya sio kawaida, nii inaonesha wazi kuwa huwa viongozi wako bias.